ndo maan mm naipend sana dini ya kisikamu kuliko dini yoyote ile🙏🙏🙏🥰
2026-04-24 08:45:22
82
Mrs bajuun🌹 :
subhanallah Allah atuongoze akujaalie mwisho mwema tuwe niwenye kutubia🤲
2026-05-07 06:31:30
16
Hashab🕋 :
Allah atujaalie mwisho mwema
2026-05-30 19:23:58
4
Maryam Dullah :
Hakika Allah ni mwenye kusamehe na mwingi wa rehma🙏
2026-05-19 08:42:25
14
Husseni🕋🤲🏻 :
Emwenyezi mungu kwanzia Leo nita tubu madhambi yangu nilikua siendi kusali wala dua ya kusali mola wangu mja wako sijui kosama ata arifu sijui naomba jamani shekh naitaji kujua ata kusoma dini yangu ya kislamu me name langu husseni idrsa bitorom eh shekh naomba uione comenti yangu please