@niulize_mimi: #mawaidha #fypシ #tiktoktanzania🇹🇿 #othmanmaalim

OTHMAN MAALIM
OTHMAN MAALIM
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 22 April 2026 19:11:25 GMT
129950
13134
96
236

Music

Download

Comments

israhadam
Israh Adam :
sheikh Osman mualim Allah akupee umri mrefu
2026-04-23 11:17:10
108
mydear24.com1
my dear :
Furaha yetu kukuona una furaha Mwenyez Mungu akujalie afya njema yny kheri nawe 🤲
2026-04-23 06:00:06
126
rama0719.com
Rama kiduka :
tatizo la uyu bhna hanaga majivuno, mungu akuzidishie mwalim wetu
2026-04-23 14:02:57
48
user35637317491326
humoud fesal :
mungu azid kkpa afya
2026-04-28 04:19:58
7
rama.solla
rama solla :
shekhe wangu nikiona unafurah najiskia amani sanaa 🙏🙏🙏
2026-04-23 15:17:54
15
mwanahamisihatib84
mwanahais :
nampenda san huyu shehe
2026-04-23 11:45:45
13
aminahassanhassan8
Muuh_Nature🛼 :
mwezi mungu akupe maiha marefefu
2026-04-23 08:07:13
7
aysha_ar.0
Aysha_ar :
Kipenzi cha watu wengi❤️Allah azidi kukupa Umri mrefu
2026-05-03 21:25:03
16
ashawadi61
Asha Wadi :
Mwenyexi mungu akujalie afya njema
2026-05-26 11:16:42
5
shekhan959
shekhan :
ukiwa na furaha na sisi tuna furaha mungu akupe umri mrefu
2026-06-08 19:07:39
2
nasrajuma332
Nasra Juma :
allaah muhifadhi sheghe wangu na umpe umri mrefu🙏🙏
2026-05-28 00:52:53
3
user8859740445601
user8859740445601 :
mashaallah mungu akupe umri mrefu
2026-06-01 17:37:48
1
fayeez.bin.omar
fayeez bin Omar :
Role model yng MashaAllah TabarakaAllah
2026-06-07 01:24:36
1
aisha.minya
Aisha Minya :
Othman maalim Allah akuhifadhi 🙏
2026-05-27 09:19:28
3
husnat080
husnat :
hyu shekhe ni mzuri alfu ni mwema mshallah
2026-05-05 16:10:46
6
didasyrhwyo
dida :
mashaallah
2026-05-31 17:01:15
1
wise.girl886
Wise girl💞 :
Mashaallah 👌 Allah akulip kher sheikh nakupend kwaajili ya Allah na napenda san mawaidh yk🥰
2026-04-23 17:39:00
7
ahmedfrancis6
Ahmed احمد :
sheikh wangu ukifurahi ni furaha kwangu👍
2026-04-22 20:14:42
6
cute_yadna
Nadya Al Batwashy :
kipenz cha watu🥰
2026-05-06 05:18:11
4
user2465882843965
user2465882843965 :
Allah akusamehe unapokosea na akupe uwezo wa kutupa daawah in shaa Allah
2026-05-28 11:35:55
4
issaabdoull
issa abdoul :
wangu kipenzi
2026-05-05 15:16:02
3
suleiman47d
suleiman47d :
Allah akujalie kheri ya pepo
2026-05-30 08:54:34
1
hcheba79
@HASSANCHEBA🥊💯💪 :
wallah nikiona sheikh anacheka nasikia furaha sana 😁😁😁 🫂
2026-05-20 10:53:31
2
chande.dereva.wa.b
TRANSPORT ZANZIBAR" :
Kwa anaeamini mungu yupo na katuleta duniani kwa ajili ya kuabudu like hapa
2026-05-09 12:28:56
3
leila.mwidini
Leila Mwidini :
mungu akuweke maisha malefu
2026-05-29 19:17:36
1
To see more videos from user @niulize_mimi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About