siyo sawa na nyie mnamcheka wakati mnaona kabisa anauchungu.
2026-04-23 10:25:51
66
Elias Kurwa :
pole sana
2026-06-13 01:47:29
2
fantana❤️ :
yera yangu 😭
2026-05-06 18:30:48
6
Brand jr🦅 :
Buyema
2026-04-23 08:00:15
11
aqsah :
Jamani mpka nimemuonea huruma 🥺😭
2026-04-23 10:49:20
16
Ima the boy :
😂😂😂Dogo acha nicheke tu ila sio kwamba nimependa hapana
2026-04-23 19:11:03
13
chimamy ben :
nimeumia japo nimecheka jmn
2026-04-23 12:13:51
6
witty 🌹 :
wee ulimdhurumu hela yake mungu akulaani sio vizuli make kijana ni mpambanaji
2026-04-23 09:33:31
13
feisagym1k6 :
kina kweli amekuja kutafuta Yani buku tu imepungua analia kwa uchungu maskin mungu atakupa nyengine zaidi ya hizo na utafanikiwa katika maisha Yako inshallah na huyo alokuibia maisha yake atofanikiwa amin
2026-04-23 16:23:24
13
Hidaya :
Mung nipe hela nimejiskia vby sana ningekuwa na hela ningemsaidia nimeumia sana sana 😭
2026-04-24 13:42:29
6
msela :
🥺🥺 sijapenda wanangu dogo anafanana na mdogo wangu
2026-04-23 07:18:17
36
peach reen :
jamn 😌😌
2026-05-12 12:43:23
1
#Dundo🥾 :
pole
2026-05-19 17:09:10
1
Happiness Erasto :
jaman daaa
2026-05-06 10:02:26
1
Elias Maika :
Washamchapa ila Kariakoo Assalaamu alaykum
2026-06-07 05:39:01
2
lysa Giles :
inauma Sana masikini jamani
2026-05-21 20:26:20
1
dauda pj.... :
2026-05-19 12:43:14
1
Gentle :
2026-05-24 22:18:29
1
To see more videos from user @hamidi87, please go to the Tikwm
homepage.