MAMA AMEJALIWA HEKIMA NA MANENO MAZURI SANA MUNGU AMBARIKI SANA ANAFUNDISHA VIZUR 🙏
2026-04-23 06:52:54
32
kimOg🍓 :
nimempenda mama yuko@💯
2026-04-23 14:40:38
16
shelly :
mama Ana maneno ya hekima sana nahisi ni msaada .kubwa mno kwetu vijana 🙏 asante mama ubarikiwe sana nahisi kupona kupitia maneno yako na najifunza nikiwa na mama asante mama sokujui but mungu akubariki sana🙏🙏🔥
2026-04-23 16:22:54
22
my Sweetheart :
Asante mama kwa hekima hii acha nijibadirishe niwe mke bora
2026-04-25 21:17:47
11
Grace :
nimejifunza mengi 🙏🙏
2026-04-28 19:01:49
1
Fave💕 :
Ngoja nikufollow mama Ana madini mno🥰
2026-04-26 08:35:54
5
Baraka Chimwelibarakachimweli :
mama iwish 💯
2026-05-11 22:18:22
0
sally🫶🏼 :
Mama ana nondo sana apewe ulinzi kwa kweli🥰
2026-04-27 05:42:15
0
nanakiss28 :
Asante mom 💯❤️
2026-05-02 21:41:15
0
@.p.official :
hizi ndo content za akili
2026-04-23 16:44:58
7
reynar :
🥰🥰🥰nilichogundua mam hat hajui kam anarekodiwa.mwamby tunampenda.
2026-04-22 22:18:48
13
maryiz outfit store :
Nakupenda mama❤️
2026-04-30 07:50:10
1
neybeuty🥰 :
ach niku follow uyu mama atanibadilisha sana 🙏🙏🥰🥰🥰
2026-05-04 19:39:13
0
Sashes by Mams🎓✨ :
My mom❤️
2026-04-29 16:32:08
1
Gerald :
mama ana madini sana. 💯
2026-05-18 02:00:19
1
Odilia Odinga🇰🇪 :
Mungu mpe huyu mama maisha marefu jmn😢🥰🥰
2026-05-04 23:16:30
0
KEMKIZE :
We jamaa nakufollow.. afu nataka namba ya maam aokote 🙏🏽🙌🏽
2026-04-28 13:56:04
3
Zawadi Chami :
uuw leo nasemwa
2026-06-02 04:47:39
0
Vee~Jose :
Mama anahekima sana nawish hata tungekua na ukaribu niwe najiuliza machache kwake maana nimeshaolewa tayar🥰
2026-04-27 09:32:59
2
mdau_29 :
Uku comment chache nenda Kwa anko T sasa 🤣🤣🤣🤣
2026-04-29 23:58:00
0
runde jr :
naomba nikufollow sababu ya mama❤️
2026-04-23 10:19:47
4
Manucho_07 :
Kk @THE FIRST BORN ukipost tena uni tag
2026-04-29 14:53:45
2
Peterson Manyanga :
📌 🤪: msijifanye hamjaona coment ya kwanza😂😂😂
2026-04-25 21:16:17
3
Renie ♥️ :
Namuomba kwenye sendoff yangu plz 🤲🤲
2026-04-25 12:08:02
3
FLORYANA. :
mama Yetu🥰♥️
2026-04-27 10:28:39
0
To see more videos from user @firstbornfamilly, please go to the Tikwm
homepage.