@georgepatrick579:

ndama jeur
ndama jeur
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 23 April 2026 00:43:25 GMT
542142
13226
364
1131

Music

Download

Comments

255freeman7
Lion Billioneire :
yupo hai kweli huyu😳
2026-04-23 09:18:15
134
khamis.luhemeja
Khamis Luhemeja :
ila jamani huyu dada yuko wapi saizi
2026-04-23 21:38:35
86
jvoice425
j voice :
mungu amlaze maari pema peponi
2026-04-25 13:10:38
24
mbwambo416
Mbwambo :
mama Samia hongera sana huko ulipo ulijipambania sana hivyo vichwa vingekutupa lakini uliamua kukaza hongera mh raisi
2026-04-23 08:47:06
36
emma.boka2
Emma Boka :
sidhan kama bado yupo
2026-04-23 13:19:57
37
dryfuture4
dryfuture :
jibu ni kwamba hayupo tena
2026-04-23 21:10:03
18
tithombiduka1
Titho mbiduka :
ila wanafiki ni weng
2026-04-23 09:34:08
20
abonikeemanuel
[email protected] :
Huyu dada alikua smart sana Mungu amlinde aliko
2026-04-24 00:15:39
25
user936102399
Tina@2024 :
Mwasi Kamani ni mmoja tu Mungu amtunze sana
2026-04-24 05:57:07
19
user5302582575213
salim :
Huyu dada yupo kweli
2026-04-24 06:36:53
12
user3561570230903j
j boy :
hivi huyu mdada yupo hai kwel ☺️☺️
2026-04-27 09:58:26
12
brightonurio2
Brighton Urio :
dada uliongea point sana sema wenzio walikuwa wanafiki
2026-04-23 20:52:00
23
user634488650554
user634488650554 :
mm ndo maana nilikataa kuwa monitor🤣
2026-05-28 19:32:44
7
user1706877600003
dicky man :
sikia wanafiki wanavyoshangilia umeshiba ndioooo,una njaa ndiooooo
2026-05-05 15:37:32
6
jeremiahblazio875
Jeremiah Blazio :
hii nayo ni sababu kubwa sana iliyopelekea machafuko ya October 29
2026-06-03 16:20:17
10
fungesaluwaichugu
FUNGE SALU WAICHUGU :
Kanda ya ziwa hawatoki maboya...Mh Mbunge makini nondo makini hongera NG'WASI
2026-05-13 11:19:18
13
user5082039524818
onesimo. by :
sasa kama ushahidi niuhuuu siuchangunzi uludiwetu kumbe ushaidi nihuu🙏🙏🙏
2026-06-03 20:21:36
7
josephathmbwilo5
josephathmbwilo73joseph :
ukweli Huwa unachelewa TU ila hua unaishi
2026-05-29 19:51:33
9
moses.misalaba
Moses Misalaba :
huyu dada mungu Amlinde point tu point barikiwa sana mwasi
2026-04-24 08:26:41
13
user3499347618599
fredrick lema :
Huyu dada ni Mtu wa Maana SANAAA
2026-04-23 09:20:21
28
jefferkang
jefferkang :
Bado yupo kweli
2026-04-23 10:06:00
34
alfredmaryango
professor Alfred :
majibu na swali haviendani
2026-04-23 19:42:22
12
doto.liheta
Doto Liheta :
ivi anajutaka kweli hyoo
2026-04-24 13:28:15
6
devis0339
Devis :
uyu dada mungu amlinde
2026-04-23 13:33:37
18
pfashionmorogoro
official_pfashion :
nimesikia anauliza niseme nini😂😂😂
2026-04-24 05:36:17
7
To see more videos from user @georgepatrick579, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About