@selfmadelone3: Folic acid folic acid folic acid folic acid folic acid #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #wajawazito#afyayauzazi

selfmade na TIBA
selfmade na TIBA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 23 April 2026 06:16:54 GMT
1112804
44820
1284
838

Music

Download

Comments

veronicasixbeth74
essy🥰😊 :
jaman ndo nn iyo folic acid tiambiane
2026-04-24 15:53:37
32
lay.cute1
lay cute😍 :
mungu ndo mpangaji wa kila kitu
2026-04-23 14:03:05
552
mnali_creation
mnali_cinematic :
folic acid ni nn tena hiyo
2026-04-23 06:57:20
143
w.a_ng
rozie_wang :
folic acid hupeanwa hosi wakati wa clinic the first months of pregnancy
2026-05-09 21:15:53
1
richard.mkanula
Richard Mkanula :
folic acid ni aina ya vitamini B ambayo ni lazima ipatikane kwa chakula au vidonge hiyo vitamini B inabidi awe navyo mama mjamzito hasa katika wiki mbili adi nne za mwanzo ikiwa zimekosekana husababisha mtoto kuzaliwa na matatizo kama kichwa kikubwa au mdomo sungura n.k nimejibu kwa uelewa wangu mdogo
2026-04-24 21:09:04
65
user2680581939623
salha m :
pole sana mwenyezi mungu akufanyie wepesi
2026-04-23 17:46:26
65
binti_naah55
ms naah :
.mbn ss wazaz wet hawakunywa folic wala kwend clinic na tupo sawa hyo ni mipango ya mungu
2026-04-24 15:40:52
13
saudacute2
Sauda 🙈 :
Mnatutisha saaan jaman em achen mamb yenu
2026-04-23 13:12:26
10
kins_keen
kins~keen :
Folic acid, also known as vitamin B9, is a water-soluble vitamin that plays a critical role in cell division and the formation of DNA. While the terms are often used interchangeably, "folate" refers to the natural form found in foods, while "folic acid" is the synthetic form used in supplements and fortified foods.
2026-04-26 19:21:48
13
user9561493943403
jenipher :
Mungu huyuu jamanii!! Sijamezaa folic nikaja kumezaa mimba ina miezii sabaaa!! Mungu huyuuu!! Kaniheshimishaa
2026-04-23 16:32:26
15
user1803562691500
it's sally ❤️ 🦋 💧 :
mungu amsaidie mtoto huyu jmn
2026-04-23 17:19:51
30
jokhamasoud401
el rassady :
mie sjawahi kula folic acid na doctor wangu aliniambiq sina haja alhamdulillah watoto wangu wote wako vzr wazidi kuwa wazuri kuna mudq ni mipango ya mungu
2026-04-23 14:09:10
17
user2036751324759
💖💖💖ALONE BUT HAPPY💖💖💖 :
allah atmpa tafifu inshallah 🙏🙏🥰
2026-04-24 16:40:42
11
dehusiler
dehusiler :
Folic acid ni aina ya vitamini inayojulikana kama Vitamin B9 (pia huitwa folate). Kwa ufupi: Ni vitamini mumunyifu kwenye maji (water-soluble vitamin)
2026-04-24 06:39:19
8
parybaby4
parybaby :
Tuliokimbilia comment tujuane hapa jmn
2026-04-23 18:40:02
5
user1463539859366
William gulin :
Amen
2026-04-26 18:00:45
1
zenakarama96
Zena Karama :
pole sana
2026-04-25 16:19:40
3
user34506596818712
Joan 😘😘 :
mungu akusaidie
2026-04-26 09:37:09
3
user2109411285901
😚only- only🥰 :
subhanaallah
2026-04-27 10:42:49
1
amimahassan993gmail.com1
Hasani Hance :
pol san
2026-05-01 16:42:54
2
advocate.wandeti
Emmanuel Wandeti ⚖️⚖️⚖️ :
Ujazaliwa ujaumbika mungu wanusuru waja wako🙏🙏
2026-04-27 17:45:57
4
gracengadu515
Grace Ngadu :
pole sana mtoto mzuri
2026-04-24 18:53:04
3
charlesmakelele20
charles makelele :
BABA MUNGU NAOMBA UMPONYE MTOTO HUYU AMEN.
2026-05-03 09:48:40
1
sarabacaza
answer :
Mungu ye mwenyewe njo anajuwa
2026-04-29 08:31:31
1
omarimbezi
user1621147816131 :
Subhnallah
2026-04-27 15:08:39
1
To see more videos from user @selfmadelone3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About