subhanallah😭😭 maneno mazito yarraby tupe mwisho mwema sis waja wako
2026-04-25 20:33:25
7
Nyongoo jr :
kwa alie karibu na bwana huyu aji tahidi kumuomba amfanyie dua watu km hao ni moja ya mawalii walio bakia kuliko wale walio vaa majoho na sifa kubwa mitandaoni na dua zao huwa ni baqbur sana ALLAH AMJAALIE JANNAH NA HIJA KWA IZINI YAKE ALLAH...AMIIN YA RABB
2026-06-12 20:26:06
4
Mo hazard :
mungu akupe umri mkubwa inshaalah huyu shekhe mungu akinijalia nitamtafuta aniombee duwa inshaalah
2026-06-10 12:43:17
3
umayr :
Daah Allah ampe mwisho Mwema shekhe Omar
2026-06-10 11:32:59
3
Saida Soliman :
Allaah tujaalie mwisho mwema
2026-04-25 16:56:24
2
Hawa mohamedi :
Nuru Allah Nuru Muhammad swalalahu alaghiiwasalam mashaalah Omar Allah akuhifadhi 🤲🙏❤️