@seif_ally_maarukhi: Unasubiri nini kuanza? Ukweli ni huu: hauhitaji mamilioni kuanza biashara — unahitaji uamuzi tu. Watu wengi wamefanikiwa kwa mtaji mdogo sana, tofauti ni kwamba wao walichukua hatua wakati wengine bado wanawaza. Je, ungependa kujua ni biashara gani unaweza kuanza leo kwa mtaji mdogo na ukaanza kupata faida mapema? Bonyeza hapa uniandikie moja kwa moja WhatsApp 👇 https://wa.me/255758399323 Au andika “NIKO TAYARI” nikushirikishe fursa ambazo wengi hawazijui. #fursa #biashara #mafanikio #mtazamo #kijana