@ngoshaericode: MIMI NI MSUKUMA❤️❤️ #miminimsukuma #amapiano #dance #wasukumataifakubwa🔥🔥 #trending

Ngosha Ericode
Ngosha Ericode
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 23 April 2026 15:36:09 GMT
1397171
52981
1382
3761

Music

Download

Comments

sammygp67
JOVIER :
Binti hakikisha mmeo ni msukuma 🥰🤣🤣 huezi kunielewa kwa haraka
2026-04-24 03:30:01
496
magreth8683
🦋🦋 Miss Magreth🦋🦋 :
raha ya TikTok unasom coment huku unaangalizia kavideo kwa juu😅😅
2026-04-24 19:04:58
181
christina123550
Christina &Mark🇹🇿🇬🇧 :
Wasukuma mnaonaje tukianzisha nchi yetu wenyewe
2026-04-24 10:22:18
101
im.happy7502
OUR DREAMS!! :
wasukuma naomba mje mnijibu mwanaume kutetemesha ivo ni sawa🙆‍♂️
2026-04-24 04:52:40
178
spency_mongo
Spency_Mongo :
siku nikiamka siyo msukuma nitalia😅😅
2026-04-24 07:38:43
123
rehemamusa38
Madam Rey :
mwanaume unatingisha hivi kuliko mimi
2026-04-23 20:28:59
111
stella.francis15
2232 :
hamuez tetemesha pumbuu hiviii niwanyime like❤️
2026-04-24 09:54:47
59
pely0343
pely :
haaa wasukuma lkn. n kabr amblo sijwah kulierewaaa🥰🥰🥰
2026-04-27 20:25:16
10
user23710816779567
anastazia masanja :
ulie tetemesha🌹🌹🌹🌹🌹
2026-04-23 19:41:10
42
gladygia_130725
Gladygia_130725 :
tulio kimbilia comment tujuane🥰🥰
2026-04-23 20:51:56
24
helenamarco506
Marydkan :
sema wasukuma tunajuwa sana🥰🥰💯
2026-04-25 15:16:42
9
felisterchalo
Felis :
kama ww msukuma like apa
2026-04-24 09:42:35
14
user4613362722462
ariana :
wasukuma wenzangu tujuane
2026-05-23 12:22:45
6
happy.athuman.emm
Happy Athuman emmanuel :
jaman wasukum nawpenda miee
2026-06-03 15:52:57
5
mdfashion47
MD fashion🪡🧵👗👘🧥👖 :
kama wewe ni msukuma gonga like hapa🤝
2026-04-25 06:10:24
13
mariamryakwaya3
mariam Ryakwaya :
sukuma taifa kubwa
2026-04-29 16:41:28
5
user3040904763188
Dè Martha's girl❤️‍🩹🩵🩵 :
ila wasikuma nawakubali
2026-04-26 12:07:50
5
emmygilangojoseph
Emmy Girl🌹 :
umuu tuu, hamuwez chez vizr niwanyime likes
2026-04-24 09:39:46
11
swaggyzcute
Swaggyz cute💦 :
Hiyo wanayocheza sio nyimbo ya kisukuma ni makulumutu
2026-04-23 22:21:18
9
user17528379682080
Nasla Baeby :
mahemu wakisukuma wasukuma tujuwane kwanza❤️❤️❤️❤️❤️
2026-04-24 07:45:45
15
nusura142
nusura142 :
Mnasema watanga wana viuno mmeviona vya kisukuma hvoo😂🥰
2026-04-24 16:43:14
13
To see more videos from user @ngoshaericode, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About