Educative, authentic and straight from the heart. Keep inspiring us🙌 This is the kind of music we need really message, real language, real impact. Keep going 🔥
2026-04-24 22:05:59
5
Dayana ❤️❤️ :
Mungu anisadie nisije kuwasahau wazazi wangu
2026-04-24 05:49:20
16
Anderson Respicius :
Somebody Banyenzaki
Ulitisha sana kipindi tuko Tunamkumbuka sec
2026-04-24 05:26:57
13
Ney_pants👙👜 :
Aliimbaga kwenye graduation yetu 2013🥰🥰nimemkumbuka
2026-04-24 17:36:37
16
IamDatty :
Ningeweka kwa Kiswahili ila Hamsalimii watu🤗
2026-04-24 21:32:52
14
Avvy J Katto :
dah hii ngoma naipatajeee
2026-04-24 02:29:23
8
magreth :
nyimbo nzuri
2026-04-24 04:26:30
5
Levina :
jmn uyu jamaa yupogo namkubali sana
2026-04-24 07:05:15
9
janjd03@edgar07 :
Unaweza sana keep it up inawezekana🔥🔥🔥
2026-04-24 04:39:35
7
melisa :
naiyomba jamani iyo ngoma naipenda sana ina ujumbe mzito japo wazazi sina
2026-04-24 05:08:28
6
witty 🌹 :
ila wahaya popote tulipo tupewe maua yetu kiukweli 🌹🌹 tunaweza
2026-04-24 09:57:28
22
KING ALEX BYAMUNGU :
umesomea katoma sec,gonga like kama uliwai kumwona live shuleni hapo
2026-04-26 18:20:03
6
bibi abella :
hongera kwa kuwa kioo cha jamii ni wimbo ambao funzo kubwa sana
2026-04-26 19:27:24
5
aminanoor3192 :
daah sijui kwa nimejikuta nalia aise kaziro😭🥱
2026-04-24 06:04:07
15
Wivinakoku :
jamani nakumbuka alitembelea shuleni kwetu nlikuwa sina hela ya kuingia kuangalia akasema wanaokuwaga wa kwanza waingie bureee nikawa nimepita🥺🥺 i remember those days.. nitumie lipa number nikulipe fadhira🥺🥺
2026-04-26 13:14:36
5
Julie :
livinus waga upo
2026-05-26 15:40:35
2
Peace Deus :
aminaaaaaa
2026-05-10 06:24:03
1
Dr🩸🥼 :
Respect 🫡
2026-06-06 15:40:58
1
vee :
mbona nahisi machoz
2026-06-07 07:04:13
1
onesmo geraz :
cvv
2026-06-07 19:58:22
1
Anitha Selestin :
wahaya oyeeeeeeeeeeeeee
2026-05-28 17:37:36
3
kalumuna :
wimbo unaitwaje YouTube
2026-06-03 21:55:39
1
To see more videos from user @livinus.karoly, please go to the Tikwm
homepage.