@nyayotv: Daah! Kumbe sheikh mikono yake inatoka sana!😂🙌 Sheikh anawaambia acheni uvivu fanyeni mazoezi,mambo yakiwa tofauti tembezeni mkono tu!😂 Sheikh wangu amenyooka sana!😂 Je! Baada ya swala ile ya alfajir huwa unafanya mazoezi au unampuuzia sheikh!?🤔 Follow us 🙏 #creatorsearchinsight #tiktoktanzania🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #fypシ゚viral #fyp
NYAYO TV
Region: TZ
Thursday 23 April 2026 16:49:15 GMT
Music
Download
Comments
Alreza :
Allahuma warhamuhu wasakana filjana
2026-04-24 16:43:44
18
Rawasen :
CHUMAA OMAR BASHIR ALLAH AMREHEMU
2026-04-26 17:52:48
8
fat00m❤️ :
allah akurehem
2026-04-24 05:46:19
9
التنزانيHafid🇹🇿 :
Rahimahullah ta'ala rahmatan waasi'ah
2026-06-05 01:26:33
1
juma rajabu 02 :
walkiswas hank🥰
2026-04-24 15:06:20
2
Maalim Kaisi online tv :
mashallah sheikh omar bashir Allah amraham na amsaameh makosa yake . wallah napenda sana mawaidha yake
2026-04-24 13:37:48
7
MRANGI MBISHI TANZANIA NZIMA🪖 :
na mm pia ndo mambo hayo nayapenda sana
2026-04-25 19:23:24
5
Worksolutions LTD :
allah amjalie pepo insha shekhe omari wallah nampenda sana huyu enzi hizo na kipozeo ilikuwa balaa sana
2026-04-25 07:08:08
4
shabanmustafha :
mwamba
2026-05-13 09:49:49
1
Shilingi254 :
allah amrehemu Omar Bashir
mwamba huyoo
2026-04-25 11:30:33
3
shàbani madobe :
tembeza mkono babu
2026-04-24 10:43:26
4
ابو فوزان طالب العلم :
vp je huyu sheh yupo mpaka sasa
2026-05-31 18:40:35
2
Faisi Kaisi :
inshallah
2026-06-02 17:30:31
1
kais wende :
takibrii
2026-04-24 18:27:40
1
user936906819813 :
kweli kabisa
2026-04-24 18:01:50
1
ayubu msambaa🚛 :
naaamu mungu ukijibeba na mungu anakubeba
2026-04-25 16:20:42
1
Yassini G. S. m :
mashaallh abibi 🙏🙏🙏
2026-04-25 00:15:27
1
𝐌𝐢𝐭𝐚𝐦𝐛𝐨 Tosk✅ :
😅 mashallah😂🤣
2026-04-25 06:26:26
1
debitboy :
mungu ganiii tembeza mkonooo😂
2026-05-29 15:38:03
0
dudwa :
ngumiiii tuuuuh fanyaa masihalaaa nn
2026-04-24 19:48:48
0
⭐ STAR BOY :
kabisa
2026-06-20 06:42:01
0
Yunus Haji :
Allahumaghfirlahu warhamh
2026-04-25 07:44:46
0
nyani mzee :
hahahahahhha
2026-04-25 08:34:43
0
abasi :
safiiiii
2026-04-24 17:56:44
0
To see more videos from user @nyayotv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.