@rigenka11: Saladini song🤣🤣🤣🤣#ila wa bongo duuuh#tanzaniantiktok🇹🇿 #kenya #uganda

Puttooo
Puttooo
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 23 April 2026 16:49:54 GMT
369970
18009
1225
1801

Music

Download

Comments

rashmaswaga
Black heart 🖤🏋️ :
Mbona kipindi hicho nilikua naona bonge la song imekuaje tena😳😂
2026-04-25 11:55:56
1106
user4486125306102
user4486125306102 :
Sijui kwanini naona aibu jmn 😂😂😂
2026-04-25 10:33:44
584
cutee.deth
cutee deth :
mungu tusaidie wabongo tunazalilika
2026-04-25 11:11:48
216
anthjk
AnthJk :
iv kumbe ndo walikua wanaimba vibaya iv
2026-04-25 09:23:25
279
user372788212177
96Hance :
shumilete Saladin na insuka hizo movie nilikuwa na ziogopa sana ikishafika mida ya saa moja usiku unitumi kwenda ndani pekee yangu😃😃😃
2026-04-25 04:17:37
88
djmuuuh
@dj muuuh255 :
hivi saladini alikuwa mchaga au 😁
2026-05-08 18:14:01
28
tamy.ly0n
tamy🇨🇳 :
hii nayo n media gani
2026-04-25 07:25:13
62
ridesnzowa558
barbie :
enzii izo tunamuona Juli bonge la handsome
2026-04-25 19:29:20
195
tom_wabongo
tõm wãbøngõh🌴 :
sitak kuamin Kam hii movie nah mm nimeiyangaliah
2026-04-25 06:56:34
83
shoo.madagaa
Yeftha shoo :
tunao scroll kusoma comment...tu onane kwa likes👍
2026-05-20 19:47:20
5
gudlckveyner
veyner :
hii move nilikuwa naona vizuri sanaa saivi kama kuna chenga chenga au macho yangu 😃😃😃 au nimezeeka mm 😃😃😃🙌
2026-04-25 20:06:50
84
sophyhub7
SOPHY HUB :
Siamini ni mm nilikuwa naangalia na kuimba hadi mwisho😭
2026-04-25 11:32:48
36
phinababe2005
smile maker :
jmn mbna nilikuaga nasikia wanaimba vzr saiv kimetokea nn 😅😅😅naona aibu jmn hii ni fedheha🤣🤣🤣
2026-04-25 11:58:22
22
b5l14
🫧Brizze..💎✡⚛☣💦 :
Tulio kimbilia kusoma comments tujuane
2026-05-15 08:05:26
8
maviatu2
maviatu :
bila Shaka camera ilikuwa ya simu ndogo😂
2026-05-15 19:48:50
7
nihal.khayyam
Nihal Khayyam :
tuliocheka kwa sababu tuliona bonge la ngoma enzi hizo gonga like😂😂
2026-05-07 19:10:26
46
user8457077612495
Ramjaan officìal :
hivi ni maskio yangu au naota jamn
2026-05-03 21:29:50
8
lidya11842
lidya :
jmn nimefulah sanaa na comment zenuu nawapendaa sanaa😂😂😂😂
2026-04-26 17:42:05
8
rishma462
Shany🦋 make up🦋🦋 :
haki kama juli ndoyupo hivi mungu nisamehe leo natubu sikuwahi kumpendaga
2026-05-06 17:19:54
5
frank.ngao90
Frank Ngao :
saladin nilmlia saan nyeto saiz amekuaje😅
2026-05-09 18:19:19
9
user32814392595688
Dabii :
hii song zamani nilikuwa naiyona ndio song mzur dunia mzima lkn leo naona chenga chenga tu😂😂😂😂😂
2026-04-25 19:24:09
17
dalaligongolamboto1
DALALI RICH GONGO LA MBOTO :
name of movie please
2026-04-24 21:51:23
13
gigy280
kidoa :
siamini kama nlkuw naipenda hii movie nn hiki jaman
2026-04-25 09:48:53
9
mkbrand994
💎mohammed💎 :
kitambo nilkuwa naona bonge ngoma kuma make sasa cjajua akili yangu imekuaje..sasa ivi
2026-04-25 16:15:14
16
jacky.zozimi
jaelyn zozimi🥰🥰 :
kajol na sharkhan
2026-04-24 19:02:36
11
To see more videos from user @rigenka11, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About