@destiny_dreamfate: Hii video nilirekodi mwanzoni kabisa wa mwezi January mwaka huu Kwahiyo takwimu hizo za Uwekezaji zimeshaongezeka kwa Kiasi kikubwa zaidi ya kiwango tajwa hapo juu maana uwekezaji wangu unazidi kukua siku baada ya siku. Nia na madhamuni ya video hii ni kuelezea mbinu ambazo zimeweza kunisaidia kufanya safari yangu ya uwekezaji kuwa nyepesi na yenye mafanikio. Mbinu hizo ni tano ni: 1. Nidhamu ya kifedha 2. Kiwango cha akiba 3. Uendelevu 4. Muda wa uwekezaji 5. Malengo ya uwekezaji Sikiliza video hii hadi mwisho il ikupe muongozo wa namna ambavyo wewe pia utaweza kutimiza malengo yako ya kifedha. #fyp #foryou #foryoupage #viral #viralvideo

Miss Wanda Gordon
Miss Wanda Gordon
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 23 April 2026 17:39:10 GMT
127145
5265
113
450

Music

Download

Comments

akbar.rajab88
Akbar Rajab :
asante sana miss wanda
2026-06-04 18:23:50
0
kennedymoshy
KEMA👑💯 :
Hili nimejifunza zaidi hapa " Confounding Compounding", nimeanza uwekezaji Jana UTT AMIS kupitia video zako , here I go 💯
2026-04-23 22:24:01
11
elias_alphonce95
ELIAS ALPHONCE :
mimi nimenunua hisa tangu jumatatu kwenye dse kiganjani hadi leo ijumaa hazionekani kwenye dse kiganjani kwangu 🥹🥹🥹 very fractuating
2026-04-24 15:49:42
3
praygodnnkoh
praygodnnkoh :
Hongera sana big up 🌹🌹🌹
2026-04-26 20:19:30
0
real_giditz
G I D I 🧠 :
Kama ulifikisha Milion 110 ndani ya miaka 10 ina maana kila mwezi ulikiwa unaweka 917,667 saving em tuambie izo ela ulikuwa una pata kwenye deal gani na sisi tukapige
2026-04-24 16:09:53
5
alfoncealfred378
Acevibe :
Naitaji unifunze zaidi na zaidi
2026-06-02 08:18:21
0
johnmwakonye
johnmwakonye :
ni kweli nakubali
2026-05-19 17:55:51
0
le.ray07
.L.E.R.A.Y01 :
nahitaji kujifunza
2026-04-24 11:30:14
3
lucy.chande2
Lucy Chande :
kweli hapo kwenye matumizi
2026-04-23 20:33:39
3
sarahbunzali
flexible SarafinazeD :
Imenibidi nikufollow tu ❤️🫶
2026-04-23 19:52:08
1
misss_momo
thee_momo7395 :
Unaelezea vzr dada Wanda
2026-04-23 18:58:18
2
kananagi8
Kananagi :
well said Wanda
2026-04-23 18:59:00
2
am_pseudocode
Ⓐ︎Ⓜ︎ :
Malengo yangu ni kuwa na uwekezaji wa 500M katika kipindi cha miaka 5
2026-05-30 14:34:07
1
alley_tz
Amour Sniper :
Maelezo mazuri kabisa Sister G...✌️✌️
2026-04-23 19:21:10
1
ombeduwilson77
Joshua Wilson :
Napata shida ku submit form ya gawio crdb, inaandika "error "
2026-04-24 10:01:07
0
user3061250572592
G_muisrael 🇮🇱 :
shukran sana.
2026-04-23 21:48:27
1
alfredke3
alfredke3 :
Msingi wa mafanikio si mapato makubwa, ni usimamizi sahihi wa fedha
2026-04-24 18:22:31
2
user1437949096555
tiger :
naomba darasa kiundani zaidi juu ya hisa na uwekezaji
2026-04-26 22:06:15
1
ankali.movies
Ankali Movies :
asante
2026-04-24 17:08:19
1
knyasarkk
mchuzi wa nyoka :
appriciate miss Wanda true say true say
2026-04-23 18:55:08
3
user8254639942541
THE JUNGLE'S SWORD :
nataka kujua kuhusu timiza fundi
2026-04-23 19:20:58
1
bafaboyofficial
bafaboy :
thanks for knowledge
2026-04-24 11:49:31
1
timothdenis
timothdenis5 :
hongera madam kwa kutimiza malengo yako keep it up
2026-04-24 03:46:10
1
mjemamzee
MAPISHI MAREESH :
compound interest rate hebu ifahamishee
2026-05-21 08:23:41
0
monterospoke
💘davin😎😎 :
sister . Naomba kujua umenunua Hisa kwenye kampuni gani
2026-04-24 07:19:00
0
To see more videos from user @destiny_dreamfate, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About