@mwl.emilian.katub7: Leo ninakuombea Emergency prayer. Zaburi 71:12 Ee Mungu, usiwe mbali nami;Ee Mungu wangu, fanya haraka kunisaidia. Nimekuombea Mungu afanye haraka kukusaidia kabla biashara yako haijafa, kabla ndoa yako haijafa, kabla mahusiano yako hayajafa Nimekuombea kwa machozi Mungu afanye haraka kukusaidia katika jina la Yesu Omba maombi haya pamoja nami siku ya leo kwa kuandika Maneno haya Bwana fanya haraka kunisaidia. USIKOSE SAA NNE USIKU LEO KUPITIA YOUTUBE CHANNEL YA MWL EMILIAN KATUBAYEMO TUTAKUWA NA MAOMBI MAZURI SANA
Mwl Emilian Katubayemo
Region: TZ
Friday 24 April 2026 03:15:15 GMT
Music
Download
Comments
Sironik music :
Mungu fanya haraka kunisaidia,badilisha hadithi yangu,usiwafurahishe watesi wangu,Amen 🙏
2026-04-24 03:53:48
362
hilarijohn :
mungu atende kwenye interview yangu nipate kazi mungu ajibu 🙏🙏🙏amina 🙏🙏
2026-04-24 07:54:50
79
angel17 :
ameennn🙏🙏🙏🙏
2026-06-09 20:22:39
0
eliudlinti75 :
eeeMUNGU Fanya kubadilisha hadithi ya maisha yangu naikawe hivyo
2026-04-24 04:08:58
58
moïse :
amen
2026-04-24 05:54:19
11
baby 18🥰❤️ :
ameeeeeeeeeeeeeeeeen 🙌
2026-06-08 20:14:35
0
B24 :
mungu wangu naomba ufanye haraka kubadilisha situation yangu
2026-06-02 21:49:26
1
Secilia Horombo :
fanya haraka kunisaidia Muumba wa mbingu na dunia
2026-04-25 17:57:14
12
NESIA :
MUNGU fanya haraka unisaidie, badilisha hadithi ya maisha yangu usiwafurahishe watesi wangu
Amen🙌🙏🙏
2026-05-11 09:15:10
2
leakasi :
eee mungu wangu nakuomba badirisha historia ya maisha yangu
2026-06-04 22:08:20
0
Nshimiriman jeanine :
Mungu wangu badirisha maishayangu fanyaharaka
2026-05-08 11:49:49
4
boss lady F&J❤️❤️ :
Mung wang naomb fanya hark kunisaidia badilisha hadith yang usiwafurahishe wates wang Amin
2026-04-29 12:47:41
2
doricus :
mungu nisaidie Kwa vita ninayopitia
2026-05-01 14:44:35
3
loml :
Everybody say AMEN 🙏
2026-04-24 06:31:20
22
MIDEKO 😘 :
E MUNGU WANGU USICHELEWE TENA BADILISHA MAISHA YANGU NAKUITAJI WEWE ZAIDI
2026-05-04 21:17:42
6
ee MUNGU wangu fanya haraka kunisaidia ,badilisha hadithi ya maisha yangu,usiwafurahishe watesi wangu🙏
2026-04-24 07:21:15
13
lady.. :
Ameeeen🙏🙏🙏
2026-04-24 08:07:12
8
@Beauty :
Amen 🙏🙏
2026-05-08 13:52:31
1
Ann10 :
very true my God 🙏🙏🙏🙏
2026-04-24 06:42:25
5
Leah chogo :
Mungu fanya haraka kunisaidia usiwe mbali nami badilisha hadithi ya maisha yangu ndani ya miezi hii mitatu na usiwafuraishe watesi wangu 🙏
2026-04-24 04:37:23
7
young geologist :
Eeee mungu fnya hima uniokoe mwanao🥺🥺🥺
2026-06-09 04:14:55
1
user4272814077803 :
Ee MUNGU naomba ufanye haraka kunisaidia na ubadikishe hadithi ya maisha yangu na usiwafutahishe wates wangu Ameeeen Ameeeen
2026-04-29 19:26:06
4
mwana chanda :
eeee mungu wangu fanya haraka kunisaindia bandilisha maisha yangu
2026-05-11 04:26:42
3
NICE CLASSIC❤ :
eee mungu fanya haraka kunisaidia ili niweze kufanikiwa na ufanye haraka pia kwa huyu anae soma hii coment na kulike amina
2026-06-05 21:09:17
1
Emmy Mussa :
Ee mungu wangu fanya haraka unisaindie usiwafurahishe watesi wangu ameni
2026-05-22 07:14:19
1
To see more videos from user @mwl.emilian.katub7, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.