@shabani_rapwi: Aliyekuwa meneja wa msanii King’amuzi, Rascol Medy 'Bingwa wa Viporo', ametoa hisia zake kufuatia kusambaa kwa video mitandaoni inayomuonesha msanii huyo katika hali iliyozua mjadala mkubwa miongoni mwa mashabiki. Video hiyo imesambaa katika mitandao ya kijamii huku baadhi ya watu wakimtaka Rascol Medy kumsamehe King’amuzi ili waweze kurejea kufanya kazi pamoja kama ilivyokuwa zamani. Katika video hiyo, King’amuzi ameonekana akiwa katika hali ya mawazo na muonekano ulioibua hisia kwa wengi, huku akionekana kuvaa kiatu kimoja pekee. #trendingvideo #trending #reelsviral #trendingreels #trendingpost #viral #Trending #trendingreel #trendingnow #ᴛʀᴇɴᴅɪɴɢʀᴇᴇʟs #trendingreelsvideo #tranding #viralvideo #SRSportsUPDATES #tanzaniatiktok #TanzaniaTrending #trendingpostchallenge #trend #fblifestylechallenge #zanzibar