@allyissa255: Msiba wa kufiwa si jambo dogo... ni mtihani mzito unaotikisa moyo, unaoumiza nafsi, na kuacha pengo lisilozibika. dE Lakini Muislamu hufundishwa kuwa machozi yanaweza kushuka, moyo unaweza kuumia, ila ulimi hubaki katika kumridhia Allah kwa kuzungumza maneno mazuri. FII MUSWIIBATIY WA KHLUF LII KHAYRAN MINHA إِنَّا لِلَهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ، اللَّهُمَ أُجُرْنِي فِي مُصِيبَتِي وَاخْلُفْ لِي خَيْرًا مِنْهَا INNALILLAHI WA INNA ILAYHI RAJIUUN ALLAHUMMA ,JURNII "Hakika sisi ni wa Allah na kwake tutarejea. Ewe Allah nipe ujira katika msiba wangu, na unibadilishie kilicho bora kuliko hicho." * Katika maumivu yako, kuwa na subira. ** Katika huzuni yako, mshike Allah zaidi. ** Kila kilichoondoka duniani hakikuondoka kwa bahati mbaya, bali kwa Qadar ya Mwingi wa Hikma. *t Na kila anayevumilia, Allah humuinua daraja na humfuta madhambi. * Subira si kusahau maumivu... Subira ni kubeba maumivu huku ukimtegemea Allah. #creatorsearchinsights

I’m_ally🎓📖
I’m_ally🎓📖
Open In TikTok:
Region: KR
Friday 24 April 2026 11:07:30 GMT
2201
99
1
12

Music

Download

Comments

papyrus8294
papyrus :
🥰🥰🥰
2026-04-25 08:28:40
1
To see more videos from user @allyissa255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About