@manyandaafricanpowerr: Maisha hayana upendeleo kesho kwake kesho kwa yoyote limeniumiza sana ili swala la Abduli tupendane tushikamane anayetaka kwenda hospital ameruhusiwa kwenda Kama kutakua kuna mabadiliko utaambiwa hapo hapo hospital ambayo ameitaja Nawapenda sana

manyanda african power
manyanda african power
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 April 2026 11:51:12 GMT
46508
3461
236
104

Music

Download

Comments

rickcantona7
Eric👣 :
Kaka manyanda we ni mtu mwema sana Yule wa mayai asaiv yuko wp
2026-04-24 13:02:36
4
user2365171384908
Hussein kiwambe :
bro niko mbeya nakukubali mno karibu ututembelee mbeya tunakusubili kwa hamu.
2026-05-09 11:22:13
0
yunickerika
nasey laiza :
aisee kaka angu una moyo wa kuwasaidia watu kweli mungu akupe maisha marefu
2026-04-25 13:15:52
2
karimamisi
karimamisi :
assante sana kaka kwa roho mzuri
2026-04-24 21:29:30
4
user9977138735139
[email protected] :
wwe ni mtu bora sana mungu akutunze
2026-05-10 08:46:56
1
deeh1917
Deeh1917 :
KAKA MANYANDA UNA ROHO NZUR SANA MUNG AKULINDE
2026-05-01 20:48:51
1
magani899
magani :
Mungu hakujaliye sana tena sana🙏🙏🙏
2026-04-24 12:01:24
4
batuli.abinde
sadda 💝💞Mohamed 🇹🇿🇲🇬🥰✨ :
kaka mungu akupe mauwa yko aisse allah akuzidishie maisha marefu
2026-04-28 12:15:30
3
azamela.gindironi
Azamela Gindironi :
ubarikiwe sana kaka
2026-04-24 20:02:17
2
chensigns
guluva :
ubarikiwe mdogo wangu kwa kujali Jamie mwenyezi mungu akusimamie majaribu yawe mbali nawe
2026-04-25 17:34:20
1
use0628704928
hamismachiya :
wangapi wanaamini niwatu wachache wenye moyo wakusaidia
2026-04-26 07:41:37
1
isay075980
isaya kilanga🫵🫵 :
blaza nakukubali xana
2026-05-11 12:02:51
1
amanijunior39
simba dangote :
Kaka manyanda heshima kwako na nitazidi kusema mwenyezi mungu aendelee kuku baliki kaka Manyanda 🙏🙏🙏🙏
2026-04-24 15:40:48
3
maybakarani1
Lema :
kweli broo mungu atakulipa kaka🙏🙏naomba mungu anipe niweze kiwazadia wenye hitaji 🙏🙏😭😭
2026-05-28 06:32:05
1
jerryjoh15
user2253407550148lastborn son. :
Manyanda mwamba kweli,mungu akubariki
2026-04-25 04:44:55
3
kuruthum.yusuph7
kuruthumyusuph :
Allah akuongezee umri manyanda
2026-04-25 19:24:09
1
dm_255689335252
Revoobit Tdm :
MashaAllah, Mungu akuongezee mara dufu ya ulichotoa InshaAllah 🤲
2026-04-24 15:22:39
1
glorymboya626
official ria :
Ni matajiri wachache sana wenye moyo wa kujitoa kama wewe Mungu akubariki sana na akupe afya njema na uzima tele. Natamani ukutane na mimi pia Brother Manyanda kwa ajili ya mama angu jamani.
2026-04-25 08:15:37
2
carinah_.b
carinah :
Manyanda Africa power kiongozi wa wote...Mwenyezi Mungu akushindishie baraka tele
2026-04-25 06:38:47
1
user4459810966315
user4459810966315 :
kweli kaka umeongea mm nimepata ajali nikajua marafiki wale nilikuwa nao watanisaidia lakini hakuna.daah nimelia sana
2026-04-25 15:17:57
1
khadijahawa248
Khadija Hawa :
mungu akubaliki kaka manyanda
2026-07-01 16:44:15
0
mwindiki.bwakyanak
Mwindiki bwakyanakazi :
mungu awenawe kaka . nilishaka kosa number Yako ya WhatsApp. asante kwa roho mwema. Mimi ni mu congo
2026-08-11 01:54:41
0
fatuma.bago46
Fatuma Bago :
mungu akuzidishie zaidi unisaidie na mimi
2026-07-14 06:06:32
0
user1709304042431
Jamila :
mungu akubariki kaka
2026-07-02 06:34:12
0
kelvinpaulo563
Kelvin Paulo :
Mungu akubariki sana
2026-04-24 15:00:29
0
To see more videos from user @manyandaafricanpowerr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About