broo kipind hiki nilikuwa na stree hatar ngoma yako ilikuwa faraj kwangu big up sana
2026-04-24 18:49:33
7
Fficial JJ :
sema ulianzaga vzur sana bro
2026-05-04 07:50:26
1
nillaton :
kaz kaz tulikuwa nakina mocco genius moshbar kipindi hiko
2026-04-26 10:12:11
2
DR Kigwanda ceo :
very creative boy
2026-04-26 07:40:28
1
starsaint996 :
Nilikua mabatini mtoni secondary
2026-04-26 08:09:19
2
paschalsalamba36 :
mwamba hui mwaka nilsota we acha 2
2026-04-25 20:00:20
2
Pendo :
Jana tu nilikuwa naimba huu wimbo nilikuwa shede jmn♥️♥️♥️
2026-04-25 17:15:57
0
Large bee :
Siku nikiwa star kama sadimu ntakua najibu comment ya shabiki kama hivi anavo Fanya yeye, much love brother sadimu🙏🙏
2026-04-26 05:40:13
2
HamimHamis :
Mwanza Mabatini.
2026-04-29 11:03:14
1
R@z Tz :
miaka 11 imepita
2026-04-28 18:36:23
1
Masenza Kibeyo :
oya kaka umenikumbusha mbali il mpka leo naikubsli hii ngoma hatsli
2026-04-29 20:24:38
1
Bartazal Julius :
daaa mwanangu nilikuw form four
2026-04-26 18:05:48
1
user74261622092986 :
love this song
2026-04-25 21:14:32
1
chufu wonder's (Yuzzo balole) :
dah nilikuw bado mtoto wa mama now npo dar mwaka wa 4 nasota
2026-04-28 17:45:35
1
Rich wamauzo :
hinyimbo sadim ulijua huniliwaza daa 🫡🫡🫡
2026-04-25 15:44:34
1
@bayden2026 :
nilikuw form 4 yaan hii nyimbo haichuj moyn mwang nliikarr yooote mpaka melody
2026-04-25 17:28:04
0
success💔 :
nilipo sasa
2026-05-09 19:49:35
1
single person 23 👌👌 :
hii ngoma kila siku lazima ni play
2026-04-25 19:04:45
3
CP LYRICS :
🔥
2026-04-25 09:20:01
3
d@y4n4 :
nilikuwa namalizia chuo mwaka wa 3 niwe doctor sjui wenzangu😂😂😳😳😳
2026-04-25 21:08:23
1
king max :
nmekumbuka sana mitaa ya bariadi malambo ambako nlimpata mke wangu kipenz!! bonge la ngoma kaka
2026-04-25 14:29:25
1
Revdai Tz :
Pango record under prod H pol
2026-04-24 19:39:11
0
dm_weldwork+255 :
Uliacha mziki?
2026-04-25 16:27:16
0
officialdeusgamaya :
daah namkumbukaga mwanangu benedicto alifarikigi nipo form 3. 2017 alafu alikuwa genius class!!! daah wimbo huuu ndio nlikuwa nauskiliza mpak sasa namkubuka sana
2026-04-26 20:49:09
1
To see more videos from user @saddytz_, please go to the Tikwm
homepage.