Hiyo mathayo ikisema Yesu mungu ni mbaya, ikikubaliana nawewe Iko sawa, the big dilema.
2026-07-15 10:34:15
1
maxshiner550 :
na Imani sasa utaifata njia ya uzima wa milele naye ni yesu
2026-07-15 17:55:25
2
denoh :
Mbona quran haisemi hivyo
2026-07-15 10:46:37
0
user7597555683690 :
siku za mwisho ijili itaubiliwa kila taifa nakila mahali hawizi kuukumiwa mtu kwanjia za sili
2026-07-16 15:33:05
1
Peter Satiman Kasebele :
taratibu yesu anajifunua
2026-07-15 18:29:28
3
zuberi850 :
Hapa nimeanza kuelewa
2026-07-16 13:00:39
1
abelly :
m namkubali sana huyo sheikh sana Hana mambo mengi
2026-07-16 09:54:18
1
Magong'ho Charles :
nakukubali mtmshi wa mugu
2026-07-17 04:58:05
0
Emma old skool :
je waliokutwa na vita ya kwanza ya dunia na ya pili waseme nn
2026-07-16 17:16:23
0
Mozeh :
kitabu cha ....
2026-05-11 16:00:38
0
Amani Kombe :
ukweli mtupu🥰
2026-07-14 17:57:08
0
Veronica Roberts :
kweli shehe tanayaona
2026-05-14 18:33:08
1
Abel Marco Charles :
umesema vzuri sana
2026-05-21 06:38:33
0
Usingizi4lyf :
hakika
2026-04-24 21:05:04
1
Galaxy :
asante sana najifunza mengi
2026-05-29 14:21:10
0
onesmo geraz :
cvvvv
2026-06-03 18:06:33
0
jodis boni :
point kweli shehe
2026-06-13 11:55:25
0
peace Boy :
Siku za mwisho Injili itahubiriwa kila mahali
2026-04-24 20:00:08
11
Rose Ally :
HAKIKA YESU NI MUNGU TENA MUNGU MWENYE NGUVU NYINGI MNOOOOOO. NAKUPENDA YESU. SIMBA WAKABILA LA YUDA MFALUME WAWA FALUME BWANA WA MABWANA MUNGU WA ISRAEL 🇮🇱 MZALIWA WA KWANZA.WA MUNGU 🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱
2026-07-16 13:22:34
0
Galaxy :
naomba kujua hilo hekalu nilipi shee
2026-05-29 14:22:52
1
lucas chigona :
shekhe wewe kwer unaijua dini bwana
2026-07-15 09:03:00
1
Baraka kawogo :
siku utarudi taratiibu kwa Yesu
2026-04-25 14:02:14
3
Neema Marco :
wewe shekhe Mungu akutunze saana huwa ni mkweli mnoo huwa hupindi
2026-05-22 19:11:52
2
Ema Swai :
Lilishabomolewa tayari
2026-07-13 15:43:56
1
minah :
amin siku zamwisho zipo na zinakuja
2026-05-30 09:33:50
1
To see more videos from user @mwaegofuta, please go to the Tikwm
homepage.