@semlowe10: Vibama au Vibalagala vya ndizi unavijua? Ulivijulia wapi? Mnaviitaje huko kwenu? Kama bado huvijui recipe hii hapa nenda ukajaribu, *ndizi mbivu, unga wa ugali, mafuta ya kupikia. Hizi vitu ni tamu aisee sijui nyie mnasemaje?
Ata sijazingatia vibama🥺 am obsessed with ur voice🥰
2026-04-24 22:21:16
425
Tee :
Vibalagala, vya mhogo ndo vitamu zaidi
2026-04-25 08:33:01
263
Reby :
Wasambaa tunaita VIKANTALI
2026-04-25 07:47:43
82
REEXIOUS🇹🇿 :
Unaongea kama AI😂😂😂
2026-04-29 13:23:01
11
HUS :
VIBUMUNDA
2026-04-26 06:33:07
36
Ess :
For those who are hearing of this vibalagala for the first time mark register. 😅
2026-04-25 11:52:38
24
naivert @⛎ :
umenikumbusha mbali sana from karagwe
2026-04-24 19:01:05
82
user66391325694634 :
ulitumia nganoo inakuaj
2026-04-25 03:04:02
7
tinnahy2 lazy :
vikantali🫶
2026-04-25 01:24:10
5
zanuu🥰🥰 :
Mimi najua vinaitwa vibamanda
2026-04-29 13:08:22
5
Ms Rose🥂 :
Unga wa muhogo ndio mzuri zaidi🥰
2026-04-25 08:13:14
71
Husstar :
hii nshawah kufanya and ndizi zkiwa nyingi ndio znakuw tam zaidi.....but mm nlifahmishwa unatia tu sembe kipindi hiko skujua km kuna dona au Unga wa mhogo😂😂😂😂💔ni more than 10years sasaaa ndio napata jina lake 😄 😁
2026-04-26 06:46:08
5
lovely kent :
Umenikumbusha nilikuwa naishi mbeya jamn kuna vibama alaf kuna vinaka jamn 🤤🤤🤤
2026-04-25 05:07:37
6
Mamu❤️🦋 :
wabena tunaelewa na wanyakyusa tunaelew hiz vitu😁🥰🥰
2026-04-25 00:01:52
23
franzy.9897 :
nlijua tu utaanz kula maskio😅
2026-04-26 10:48:02
5
posh nah💄 :
bagooo
2026-04-25 11:49:30
5
Raphaellah :
madam hakuna kinachokushinda kupika unaweza pika hata sumu ya kuua maadui 😂
2026-04-24 20:12:17
5
aime kiumbe kipya :
wa nande tuna viita vitunza
2026-06-21 14:46:20
1
G mboneke :
mbea moja iyo😅
2026-06-22 20:48:59
1
🥰🥰 :
Vibagalagala
2026-06-13 11:36:01
2
Line Tz 😜🇹🇿🙈 :
Nika pasha moto mafuta 😳😳😂
2026-05-24 02:39:03
1
Salome🦋💞 :
Vikatary
2026-06-12 19:26:05
1
Mariam Thomas :
wakishua awavijui
2026-05-25 14:44:10
1
raque💫 :
jaman ulivosema vibama vya ma kanisya ndo nimekkmbuka mwee🤩
2026-05-25 15:16:10
1
To see more videos from user @semlowe10, please go to the Tikwm
homepage.