Niwajibu wa kila mzazi kuhakikisha mwanae anaishi maisha mzuri 😊
2026-04-25 06:27:21
74
Murtaza :
Sasa kwani mi wajibu langu kusaidia wazazi?
2026-04-24 20:00:54
54
🔥Carlorix@phideris :
Mwambie Kiredio hii inamuhusu sana
2026-04-28 06:35:17
13
Mangi :
Ukweli ambao ukiusema utaonekana Mkosefu kwa wote wakusikilizao...... 🤧🥹 WAZAZI NDO WANAPASWA KUANDAA MAISHA MAZURI KWA WATOTO WAO.... msiwape lawama watoto ya maisha. Mzazi abebe jukumu lake la malezi bora kwa mtoto ili nae Mtoto aje kuwa mzazi mwajibikaji kwa watoto wake.... 😢🙌🏾
2026-04-27 08:02:16
13
da shaa :
kweliiiiii kabisa kaka wangu mungu akulinde
2026-04-26 18:52:10
29
Official zaina ❤️🫂 :
10/1
2026-04-29 09:34:02
1
Aiem chioma🦋💦 :
waliomuelewa brother tujuane
2026-05-20 20:07:11
9
nkalati boy :
umeongea point xan
2026-06-14 20:27:54
2
Gazo man6🐆 :
unakuwaga ni ulimbukeni kweli kaka🥰🥰
2026-04-25 08:55:38
15
✨👑 Mr_Transaction 🔥💎 :
Bro napenda sana content zako kama una namba ya mpesa endelea kua nayo ni nzuri