😁😁😁nimecheka sana ety Salum seleman alikuwa ni master mind 🙌🙌
2026-05-02 11:01:09
7
Willy Willy :
leo #hatujatikisa mkuu so sad
2026-06-24 07:38:35
0
® :
Saivi ni S. 131
2026-06-18 21:07:24
0
ndombafurnitures :
ila seleman🙌🙌🙌🙌🙌
2026-04-25 09:01:58
5
triple g :
hii ni mahakama kuu kigoma msomi
2026-04-29 03:13:46
3
Son Of Africa 🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇷🇼 :
elimu nzuriiii🙌🙌
2026-04-25 08:33:03
5
Alifa stationary 😂🎁🍻💰 :
habar mfano nilinunua kiwanja na mwanasheria alizibitisha kwa stemp na sikumalizia pesa nilipo Kuja kunalizia pesa wale nilio wapa pesa hawapo na kiwanja na nyumba kumbe wamechukulia mkopo wa nyuma hiyo kumbe walikua na nyaraka feki ambayo hati ya manunuzi ilikua feki ila mm sikutaka majiran wawepo maana hata muuzaji alikataa kua hataki kufanya tangazo kwenye jamii na mm nilimuamin.
mwanasheria alipo uliza sana kuhusu nyaraka za manunuzi nilimwambia so muhimu kumbe nilikua napigwa nifanyeje
2026-06-20 15:41:23
1
venocyber :
sele
2026-04-27 12:48:48
1
chifupromise :
vp kuhusu madhala nitayoyapata ya kumwekea mzamana mtu na akatoloka
2026-06-08 20:18:37
0
user13425826866975 :
nakukubali sana
2026-04-26 21:27:30
0
vitalis lington :
appreciate
2026-04-25 16:04:16
1
shabararashabani9 :
nakubali
2026-05-03 11:15:38
0
® :
Enlight me, waliwezaje kumfikisha herezani bila kufikishwa kwanza mahakaman, ile form ya order ya kumwagiza bwana jela ampokee mfungwa waliitoa wap maana hyo ndio inayoelekeza huyo mtu afanyweje huko jela
2026-06-18 21:10:51
2
Frank :
kumbe kesi ya ubakaji inadhamana
2026-04-25 12:51:09
5
Blaq :
Associate naomba elezea upande wa wadhamini baada ya Salumu kukimbia, je walikamtwa on behalf ama walilipa fidia ?
2026-04-25 05:44:56
5
Ahobwile Mwasindikila 🌹 :
kaka mimi nauliza inawezekanaj kesi ikaendelea kusikilizwa wakati defendant hayupo?
2026-05-16 13:30:12
0
ba hance :
marwa huyo ni home boy wangu Nilisoma nae drs la kwa1. #RORYA
2026-05-01 13:02:00
1
Emmanuel Zao :
Yooote hayo, ni sababu ya upwiru tu!😌
2026-04-25 09:10:52
4
antonzablon :
safi sn Asosieti Naikubali darasa lako❤️... 🤔kaswali..Je ikiwa atajibu Tuhuma akashinda si anaachiwa Huru!?....2. itakuaje juu ya mwaka alioisha-tumikia!?
2026-04-26 15:23:05
2
Mohamed Mohamed :
Shout out to Bw.Salumu seleman…Ame TIKISA VYEMA so far 😂
2026-04-25 06:19:33
3
salumsudan :
wakati kesi inaendelea wadhamini walikua wapi
2026-05-14 05:07:51
0
mr.FreeInternet :
Mr.Freeinternet NIMEPITA HAPA
2026-05-19 16:15:46
0
madamcomfort. :
na vip kuhusu , vitu vilivyowekwa kama dhamana
2026-04-25 08:47:27
0
ismuuhntana🅿️ :
🔥🔥🔥
2026-04-25 06:19:39
0
mendo69776 :
🥰🥰🥰
2026-04-25 05:47:34
0
To see more videos from user @emmanuel.page5, please go to the Tikwm
homepage.