@shayda.beauty_salon:

shayda.beauty_salon
shayda.beauty_salon
Open In TikTok:
Region: IQ
Saturday 25 April 2026 08:57:44 GMT
13117
457
2
56

Music

Download

Comments

hawzhen.mohammed
Hawzheen Gyan🫶 :
🥰🥰🥰
2026-04-25 09:01:31
0
rayan._rzgar
𝑹𝑹𝑱 Ꮤ⃝ :
😍😍
2026-04-25 22:23:54
0
To see more videos from user @shayda.beauty_salon, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Replying to @Tasha🌸🫧  Kila binadamu anazaliwa akiwa na mwanga wake wa asili unaomsaidia kuvuta fursa, heshima, kibali, na mafanikio kulingana na ramani yake ya nyota. Lakini katika ulimwengu wa roho, nishati hiyo inaweza kushambuliwa, kuchezewa, au kufifishwa na watu wabaya au mazingira yenye nishati hasi. Ukiona dalili hizi nzito kwenye maisha yako ya kila siku, ujue mwanga wako umefunikwa na unahitaji usafishaji wa haraka DALILI KUU TANO ZA KUFIFISHWA KWA NYOTA YAKO Kwanza ni Roho ya Kukataliwa na Nuksi ya ghafla yaani Rejection na Bad Luck. Unajikuta una sifa zote nzuri, una elimu, una uzoefu, au una biashara nzuri na bidhaa bora kabisa, lakini kila unapoomba dili au msaada unakataliwa bila sababu ya msingi. Watu waliokuahidi kukusaidia wanakuwa wanakugeuka dakika ya mwisho au wanazima simu zao. Ni kana kwamba watu hawaoni uwezo wako au uzuri wako, bali wanaona giza kila wakikutazama. Pili ni Kupotea kwa Pesa katika Mazingira ya Tata. Hii inajulikana kama kuvuja kwa nishati ya uchumi. Unajikuta unapata pesa nzuri sana na unafanya kazi kwa bidii, lakini ile pesa haikai mkononi na hupati cha maana ulichokifanya nacho. Zinaingia dharura za ghafla kama magonjwa, uharibifu wa vifaa, au unajikuta unafanya maamuzi mabaya ya kutoa mikopo kwa watu ambao hawawezi kukurudishia na mtaji wako unayeyuka. Tatu ni Uchovu wa Mwili usio na Sababu ya Kilebba. Unaamka asubuhi ukiwa umechoka sana utadhani ulikuwa unabeba magunia usiku kucha, mgongo unauma, na unakuwa na uzito mkubwa kichwani. Ukenda hospitali vipimo vyote vinaonyesha hauna ugonjwa wowote. Huu ni kiashiria kwamba Aura yako inavuja nishati na inashambuliwa ukiwa umelala, na ndio maana unajikuta unaota pia zile ndoto za kurudi nyuma kule shule au utotoni. Nne ni Kupoteza Hamu na Kupata Uvivu wa Mambo ya Maendeleo. Unakuwa na mipango mikubwa sana kichwani na unajua kabisa nini cha kufanya ili ufanikiwe, lakini ukiamka asubuhi unakosa nguvu ya utekelezaji. Unajikuta unaghairisha mambo yaani procrastination, unakuwa na hofu ya kuanza, na unajihisi kukata tamaa kabisa hata kabla ya kuanza kupambana. Hii hutokea kwasababu upepo wa nyota yako umegandishwa. Tano ni Mizozo na Migogoro isiyo na Sababu kwenye Mahusiano na Familia. Unajikuta unagombana na watu unaowapenda au marafiki wa karibu kwa mambo madogo sana. Watu wanakununia, wanakuona una kiburi, au wanapoteza hamu ya kukaa karibu na wewe kwasababu nishati hasi iliyoizunguka nyota yako inawafanya wasijisikie vizuri wakiwa karibu na wewe. ELIMU YA NDANI KWA AQUARIUS Aquarius ukiwa kama nyota ya Upepo, nyota yako ikichezewa au kufifishwa, madhara yake yanakuwa makubwa zaidi kwasababu upepo wako ukisimama au ukichafuliwa na mawazo hasi, kila kitu chako cha maendeleo kinasimama hapo hapo. Huwezi kuendelea kuishi maisha ya kubahatisha wakati mwanga wako upo lakini umefunikwa na uzito usiohusu asili yako.      #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya #foryou #aquarius♒️ #zoadicsigns

About