@kirimii7: suffering from success #sherehezakwetu #Merukenya #ruralcuisine

Eze
Eze
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 25 April 2026 16:22:20 GMT
647350
32780
866
1726

Music

Download

Comments

rozillah.njogu
Rozillah njogu 🇰🇪🇰🇪🌟 :
hizoo ni mashed potatoes zinakaa uji power
2026-04-26 13:51:23
3199
ur_o23
Strawberry 🌬️😌 :
mwenye alikua anapika hiyo mashed potatoes afungwe 😂😂
2026-04-26 16:22:02
2267
_3ziman
_3ziman™ :
the joy when your mom is among those serving 😁
2026-06-23 14:45:00
2
gdelano0
GDelano :
Zero protein. Just calories. Ndio maana mnanona
2026-04-26 14:35:23
716
robbyraider2
RAIDER :
kwani Kuna order ya mafi
2026-04-26 13:12:52
858
aumaliz_valarie
vee🦋 :
Hii ukimaliza unashindwa hata kupumua vizuri
2026-04-26 11:43:23
1005
sharon.nyaboke3
Nyaboke ❤️🌸 :
😂😂😂hiyo nakula nilale kama chatu vile shosh yangu alikuwa anapika chapo nono unalala from Friday to Monday bila kuhisi njaa
2026-04-26 12:30:18
203
hancydivany95
hancydivany :
I miss such food...mniite kwenye Kuna event
2026-04-26 16:31:49
61
dota94242
DOTA9424 :
Mimi ningeserve plau na stew only
2026-04-27 14:07:18
16
don_dadda254
Biko :
sasa maji na soda utabeba aje?🙄💔
2026-04-27 10:58:54
69
gakiimellisa
Mel_lisa❤️📌 :
Hii ni ya wiki mzima jameni😂😂
2026-04-26 10:46:51
68
.rissa6
rissa :
is everything ook at home
2026-04-27 10:36:09
15
bossman_.2
bossman :
hii ni nni ?? weka
2026-04-26 13:03:15
55
mr_beneficial254
Mr.beneficial254 :
First time kuona mtu ako serious na food
2026-04-27 15:43:01
18
jeptoo3
Jeptoo😘 :
kwani unakula breakfast, lunch na supper😳
2026-04-27 07:08:36
14
its.purityglow
Tr.Nasambu✨️💫 :
hapo umetengeza mnyambo
2026-04-26 12:52:35
14
otimalugha
Malugha :
Hii ni tabia mbaya sana,,,mko wapi??
2026-04-28 09:38:16
12
rich.brown03
RICH BROWN 💵💵💵💵💯 :
Mimi kuna food zingine naeza ruka hapa Ni mbayaa😁😁
2026-04-27 07:57:45
8
potmore78
potmore :
bro hiyo food yote kwani sherehe niyako 😅
2026-04-28 11:15:42
10
To see more videos from user @kirimii7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About