@extraordinary.me4: Kama unabisha watesi watasema kwa comment section yaliowatokea😂🔥.. #fyp #creatorsearchinginsight #tanzaniatiktok

extraordinary me
extraordinary me
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 April 2026 17:47:13 GMT
270842
5615
725
712

Music

Download

Comments

bizzyladen
BinBaisy🇹🇿 :
hii una harisha hadi akili 😂
2026-06-13 14:24:04
174
marryranny03
Sheis_Rannie :
Sina hamu chips za juzi na chapati ya maji ety ndio yai 😂😂🙌 mungu anawaona
2026-06-13 15:19:24
75
madinayusuph425
🦋dinah425❤️ :
chip yai za ngano 😅😁😂
2026-06-14 10:48:43
35
bitrice733
برمجة٠دب😜 :
Nilinunua Azam cola Kumbe ni juice cola alooo😂😂😂😂
2026-06-15 08:04:42
16
princess.d7677
🦋Dee🦋💯 :
chips yai imechacha inatoa hadi fundamental kwa ndani😁😂😂😂
2026-06-13 12:22:51
60
dr.ummy1
Mrs. Aboubakary♥️♥️ :
chipsi yai imechacha inateleza kama tupo mabondeni ifakara🥺
2026-04-26 14:03:04
255
zenaithy48
Zenaithy 🧸🦋🔐 :
Ni chipsi kavu na chapati ya maji yoooh🙌😅
2026-06-14 17:25:54
11
swiyaam
🧕💞 :
yai la Leo chipsi za juz 😄
2026-06-14 09:49:16
12
..nee46
🌸Nee🍭 :
Kwanza picha linaanza mixx by yas kila ktu humo humo
2026-04-26 07:58:18
111
amina.kilungu
Amina Kilungu :
umesahau za Dodoma 🥹🥹
2026-04-26 18:16:25
37
emmy.buberwa
Emmy💋💋💋 :
Chips hiz ninakuwaga na yai moja tu😂
2026-04-26 12:45:47
49
cutefetty99
Fetty🌸🎀 :
Mmh bn nilijuwa chips yai kumbe ni unga wa ngano 😂😂 waliniingizag mjini
2026-04-26 00:50:33
92
jacklineashraf
JAQUELINE🦋🌸💫 :
Chips na chapat za maji zinazo tiwa manjano 🥺
2026-04-25 20:23:54
34
_jowjoh
Joy🧚🏾‍♀️ :
zinakuaga zimechacha😂😂
2026-04-25 21:08:17
51
leilaleilu33
Leila shwaaah :
Kusema tu ukweli sijawahi kula hizi chips Asante mungu kwa kunipa nafsi y kuchangua vyakula 😂😂😂
2026-04-26 14:42:07
33
liliani168
Liliani :
niliwahi kununua sina hamu niliongea maneno yote pekeyangu😅
2026-04-27 07:09:52
21
neemachimungu
N❤️C❤️C 🥰Gee💙 :
ngj nilie kwanza😭
2026-04-26 17:55:36
9
rrrrrrrrrrrrr652
madam :
wanapikia vichochoroni Mimi nilikuwa nakaa hapo karibu na hoteli ya gwami nawaona
2026-04-26 18:32:12
7
officialkachory1
Official_kachory :
Oyaaaaaa hiii hain comeback😀😀😀
2026-04-26 12:27:49
7
irenepeter87
Reen Home store💕 :
Yai moja 😁
2026-04-26 08:12:18
11
ms_ree05
Ms_ree🤍🖤 :
Chips inaviaz 6🤣
2026-04-25 20:06:05
59
elly.tubiwa2
Elly_TUBIWA💔 :
nilitamani kulia 😂
2026-04-26 08:15:25
6
queendadanabiasharazake
queendadanabiasharazake :
Sio chips tu kila kitu ata juice ya embee looh sina hamu hizo chips ndo kabisaaaa unataka juice soda maji chips ni eli ushuke chini na yale makeki Yao mfyuuuuuuuuuuu sina hamu hizo chips
2026-04-27 10:58:56
6
officialsau97
official mamy Naa :
sijawahi na siwezi kujaribu
2026-04-26 05:54:16
6
To see more videos from user @extraordinary.me4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About