@power_media08: BONDIA IBRAH CLASSIC ALICHOKIFANYA UGENINI KIMEWAPUNGUZIA MAUDHI/HASIRA YA UBUNGO KWA WADAU WA NGUMI TANZANIA? Hii inaitwa Double Impact kwa mara ya kwanza nchi Tanzania bondia kushinda mikanda hii na kurudi nayo nyumbani haijawahi kutokea. WBC International na WBC International Silver ukiwa na muendelezo wa hatua inayofata Ibrahim Class anaweza kuwa mtanzania wa pili kuchezea mkanda wa dunia kati ya vyama vinne vikubwa. Hongera Ibrahim Class kwa kuliheshimisha Taifa. Kumbuka once a champion, always a target watu watahitaji kucheza na wewe kutokana na mikanda uliyonayo kwasababu hiyo ndio njia ya kufika juu na wao wanahitaji kufika juu na njia unayo wewe. Unahitaji kukaza kuongeza juhudi na maarifa ili kuweza kupambana katika level ya juu. C&P

Power media
Power media
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 April 2026 20:47:12 GMT
273065
5444
42
94

Music

Download

Comments

msodoki1122
Msodoki HD 🔷️ :
Mwakinyo the best fighter in TZ .
2026-05-10 22:55:59
6
dar_capital_motors
DAR CAPITAL MOTORS :
ubungo kulikuwa ni utoto tu
2026-04-26 09:29:11
9
gewe.smoker
Gewe smoker :
Respect classic pambana
2026-04-26 08:29:33
2
leonardmambosho
Tall the great :
tueshimishe babaaaaaaaaa
2026-04-27 19:26:31
2
annastaziandege78
A m n@¥ :
sana namkubali sana ibrahom
2026-04-28 14:42:21
0
emmysar0
Khalidi Haaland 9 :
Uyo ndo mana akaitwa Ibrahim classic Mawe🔥🔥🔥🔥🥳🥊
2026-05-13 18:09:07
3
hamisimlanza
Hamisi Iddy :
IBRA MAWE
2026-06-12 09:52:01
0
dvj.dizzo
Dvj Dizzo :
mwamba anajua sana
2026-04-27 13:29:22
5
guzmanho
Guzzy Van Chapo :
mawe
2026-04-26 03:20:43
2
nassibu.s.w
Nassibu S.w :
king class mawe
2026-04-27 19:01:07
2
msally_store_tz
Msally Store Tz :
Nzuri hi🔥
2026-04-28 08:04:29
3
prisca.mtumba
Prisca Mtumba :
mi ndio maana namkubali Ibrahim sana
2026-05-02 19:28:42
0
kibi074
@KB07 :
ngumi jiwe💪👊
2026-05-25 13:24:14
1
user5207787085910
Tido konde Tz :
nakubali sana kaka
2026-05-06 14:31:55
1
laurenc.ernest
Laurenc Ernest :
Classic 💪
2026-04-28 18:12:57
2
david.makolo5
Jobless Millionaire :
God is good
2026-05-15 06:17:16
1
smail.muda.bado
Smail MUda Bado :
tena
2026-05-06 16:50:19
0
ashiru.kikali
Kikal🔪 :
mawe
2026-05-05 21:34:45
0
amissindondi
Amisi Ndondi 🇲🇿🇹🇿 :
tz tunaweza ila tunachukiana sana ahsante ibrah clasic kwa kutheshimisha
2026-04-26 02:51:27
5
ibrahimrobert672
ibrahimrobert672 :
hayo makelele ndo yanawaponza mabondia
2026-06-13 06:14:41
0
fartherof47
Father of faith :
viva wajina
2026-04-26 07:27:37
2
user543755625815
rigoberti son :
sema ana fair play sana ibra classic saf sana
2026-04-26 04:13:43
2
kilogolasalim
Kilogola Salim :
Asante sana classic
2026-04-26 08:12:50
1
fungafunga247
fungafunga :
sema IBRA MAWE
2026-04-29 10:32:46
3
0785071881mziguwamjanja
Mziguwa Mjanja :
hongera kaka
2026-04-27 18:26:38
1
To see more videos from user @power_media08, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About