@1oldschool4: Hivi dogo @sn yupo wapi kwenye gemu la mziki vijana mbona mlikata moto mapema sana alitoa hit songs nyingi tu upo dar..au kasul🙌 kama upo dar ingia studio plz.. nakama upo kasulu ludi mjini plz...njoo ufanye kazi mkuu uwezo unao na nia pia unayo na kipaji pia unacho nini??tatizo Acha usingizi achia magoma twende kazi mzee hapa akuna mchawi uchawi unao wew ni kukata tamaa huo ndiyo uchawi unaoitafuna #bongofleva yetu acheni kukata tamaa ndungu zangu lukeni nao magenzzzzz😂mpaka kieleweke