@babuwatiktok1: MWANAMKE WA KWANZA KUKATAA PESA DUNIANI 🤪

Seif Kisauji 🇹🇿
Seif Kisauji 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 26 April 2026 06:10:27 GMT
598928
28636
710
701

Music

Download

Comments

cosimasssambaya
Cosimass Sambaya :
kama unampenda mama sema love you mama
2026-04-26 17:51:21
1489
bestinajackline
Bestina Jackline :
walioangalia zaid ya mara 10 tujuane kwa like😍😍😍😍
2026-04-28 10:36:55
214
user9998378035487
darey :
Hadi nimejkuta machoz yamenitoka yaraby tulindie mama zetu🥰
2026-04-27 06:59:06
402
angelmusa6
N.B.H Ma wa clement :
vya Bure viauwa mtoto Bora umetambua mapema Mungu akutunze 🥰🥰
2026-04-26 11:26:23
294
jackie.eliana
jackie eliana :
Me wangu angechukua hela sijui ni mchaga 😂😂
2026-05-13 13:32:59
11
user9619912404116
mam Rayna💕 :
jaman wakina mam tubarikiwe sana💕💕💕
2026-04-27 09:07:35
65
yaacnsas
tinnah 🦜 :
na mimi nizae mtoto jaman awe ananililia nikitoka eew mungu sikia kilio chang nimemsubiri sana mtoto wangu jaman
2026-05-14 10:39:20
8
salomewaiti
Sally waiti :
mbona nalia 🥰🥰
2026-05-12 08:30:12
7
user70704495874035
stefania :
mama ni mama afananishwi na chochote 👍👍
2026-04-26 16:39:18
50
elesiaswalo
elesia swalo :
jaman mungu lindiye mamaake nimejikuta naliya kwajiliyake 😘❤❤
2026-05-03 07:27:27
5
queenmichujo
🌸Ram🍭jey🌸 🦋michujo🦋 :
itakua wanakalea vizuri aka dah🥰
2026-04-27 06:21:16
35
rahma.haytham
rahma haytham :
inaonekana wanampenda vizuri Hadi laha jmn
2026-04-28 06:48:44
19
daddys.huntrx.0
Daddy's girl 😍😍 :
hongera mnamlea vzr Kwa upendo ndio maana wote ni mama zake
2026-04-27 09:15:37
12
mnyelamba
Mnyelamba OG💋💋💋💋 :
Uyu mtoto kanifanya ni mlilie mama yangu🥰🥰🥰
2026-04-27 14:25:45
19
mom.f94
ma mpenz 💕💞 :
😭😭😭😭😭 sijui kwanin nalia
2026-04-27 09:51:40
5
khadija.juma565
didah 🥰💫 :
thamani ya mama hailinganishwi n chochote ktk hii Dunia Allah akukuzie vyema mwanao🥰
2026-05-02 05:45:03
10
magrethlukosi487
[email protected] :
upendo ulioje🥰🥰
2026-04-27 19:08:04
7
nasraommy39
naah✨🤍 :
mtoto anaupendo wa kwely kwa mama zake🥰
2026-04-27 12:10:22
5
suzanamangera
suzanamangera :
Nani kama mamaaaa wewee I love you my mom💞💞💞💞💋
2026-04-26 12:14:08
27
user71263201077096
lehanda 💖💖💖💚💛 :
I love you ❤️💞 my mom
2026-04-28 05:59:48
5
momaia8
mom Irene💖💕♥️ :
mpeni maji anywa jaman kalia sana.
2026-04-26 12:45:27
135
sayada051
sayada.com.feitot :
nashukuru mung kila niongeapo na mtot wang kweny sm chakwanz huwa anasema shikamoo mama 🥰 hatakam yup kea bibi ake lakn anaelewa mm ni mama ale👌👌
2026-04-27 11:43:33
29
user7354634447075
Tina :
hakuna kama mama jamani mama hanunuliwi kwa pesa asikuambie mtu mama mtamu sana, jamani watunzene mama zeni jmani, mimi wangu aliniacha naupeweke 😭😭😭
2026-04-26 17:39:14
33
happy.njau
@njau happy💗❤️‍🔥💯 :
waoo safi sana upendo wa mama hauna dhamani na kitu chochote duniani 🫡🫡
2026-04-26 06:39:48
45
levinavicent
the best 💝 :
Jamani uyu mtoto Mungu amlindie mama yake, ameni🙏🙏
2026-04-27 14:45:15
12
To see more videos from user @babuwatiktok1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About