@sir_kishai: Mtag rafiki yako anayethamini Muungano adhimu wa Tanganyika na Zanzibar. maadhimisho ya miaka 62 MUUNGANO HOYEEE🇹🇿🇹🇿🇹🇿 😃😃😃🔥🔥🔥Ni leooo. #tanzaniatiktok #daressalaam #goviral #creatorsearchinsight

sir_kishai
sir_kishai
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 26 April 2026 07:10:14 GMT
1217009
82958
1709
2014

Music

Download

Comments

user7561409338378
baby zayana💞 :
mmmm mwaaaaaaaa ilove TANZANIA
2026-07-14 07:20:21
0
chizee26
Luca Lucas :
goja niwafollow 2
2026-07-14 06:07:31
0
jennifer.kihoo
J lann %kB :
tulio rudia kuangalia marambilimbilli tujuane🥰🥰🥰
2026-04-26 18:05:00
653
nehemiapatrice3
nehemiapatrice3 :
kama unaipenda tanzania 🇹🇿 gonga like♥️
2026-05-15 12:19:26
400
jovinmasho491
Jovin Masho :
itoshe kusema sisi tunajipendekeza kwa wazanzibar na hawatutaki kwa nguvu zote
2026-06-11 07:25:20
71
cansu9631
CANSUH :
Tunaoangalia kitandani like zetu hapa😂🥰
2026-04-26 13:52:04
380
softieree1
Softie🌹 Ree 🍭🇹🇿 :
Kama unamkubali huyu teacher gonga likes hapa 🥰
2026-06-05 12:25:52
53
msudan93
D - Msudany 🇷🇼🇹🇿🇰🇪🇺🇬 :
zanzibar ninini?🥺
2026-06-07 06:35:05
10
user9200106067813
rehema♥️♥️💝💝 khamisi💐💐 :
mhm hongera mwalimu na wanafunzi wako 🫶🫶❤️🌹♥️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-06-10 05:06:49
26
user545514012200
user545514012200 :
saut ya uyo mtoto amazing sana hongera kwake
2026-06-30 15:25:16
6
jamesmumia254
James mumia ✅️ :
good mwalimu ☺️☺️☺️☺️solid respect from 254 🇰🇪
2026-06-20 17:56:17
6
sadamlilo
sadamlilo :
nimesisimka hadi jamani🥰 hakika najivunia kuwa MTANZANIA🇹🇿🇹🇿
2026-06-11 15:48:34
20
user3455002554816
user3455002554816 :
Unajua mwalim naunafundisha vizuri
2026-06-19 12:53:28
7
master_3008
Master Abd-llah :
kwann nikunyime like kwann nisicomment kwanini nisishare kwann nisirepost
2026-05-22 08:46:37
15
nachally4
💦Nachally 🫶 :
daa we mwalimu upo good sana 👌
2026-06-19 06:59:25
6
drayven3678
🍀_*DRAYZER🍁back up :
hadi raha tanzania yetu yenye amani mungu tubariki
2026-05-28 13:59:46
11
mathayokivuyo613
mathayo chuga comedian :
kama unapenda kuwa mtanzani gonga like hapa
2026-05-24 17:17:20
11
mariamarwa687
joche cee@tz :
kama wanafunzi wameimbavizuri weka gonga like pamoja
2026-06-06 07:18:47
26
kelvin.juma934
Kelvin Juma :
kama unaipenda TANGANYIKA weka like ap
2026-06-24 14:00:28
9
aboubakarali883
asamo'h :
anaemkubali teacher gonga like hapa
2026-06-14 09:13:12
8
abuuabubakar07
Abubakari :
rais wetu akuone ata akuite ikuru kwakupenda kazi ako mungu akubariki sana
2026-06-20 19:03:52
5
dogo_____s
DOGO S :
kama wimbo umeukubali weka like 🥰
2026-05-26 08:37:32
6
luckylixm
Mr_perfect**!!!1045 :
kam ww mzalendo tia like ap
2026-06-24 19:30:20
6
wben76
Wben :
Mungu, Akubariki sana,kwa kuwa Fanya wanafunzi kusahau fimbo,kwa wakati flani,pia hongera kwa ubunufu wako ni wa Kipekee.....naomba niwe mwana team...🤝
2026-05-22 07:25:07
9
nikki.bella1720
Nikki Bella :
Uyo mtoto anasauti nzuri nasa 🥰🥰🥰
2026-04-28 08:22:31
22
To see more videos from user @sir_kishai, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About