@doktanature: Tuviamini Vipimo vya Kupima Mwili Mzima?

Dr Nature
Dr Nature
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 26 April 2026 08:22:56 GMT
60612
1709
128
121

Music

Download

Comments

bravo.miner
Bravo Farm :
Sijawahi kuhamini hivyo vipimo ni utapeli
2026-04-26 13:43:33
24
daniel.mcmillan13
Daniel Mcmillan :
Kwann havipo muhimbili???
2026-04-26 15:22:31
13
modocta
Mo docta :
Hivi vipimo ukiwa na knowledge navyo vinaleta majibu sawa au karibu na ukweli kazi kubwa ni mtumiaji awe na uelewa nna wagonjwa wangu waliopata nafuu. Though hii ni screening inasaidia kuelekea diagnosis na haitoi diagnosis. Pale isipofika tunarudi kwenye vipimo vetu. Va hospitali
2026-07-01 08:56:08
1
ray_wakwetu
RYMOND WILLIAM :
Wala sijaelewa ila mimi nikikutana na duka la dawa asili afu anayeuza ni mhindi mimi apo najuaga nishapona 🥰🥰
2026-05-17 17:34:41
0
01123581321madenge
MADENGE II :
Palmistry au Chiromancy..Wamisri wa kale waliita Kusoma maandishi ya mwili kupitia kiganja. Kapitie hiyo pia kisha rudi chunguza Quantum Resonance.
2026-04-27 06:34:20
1
guydon.farm.and.r
Guydon Farm and Ranch :
Why don't you contact producer or manufacture
2026-04-26 15:34:30
2
jamilcali578
Jamil Cali578 :
Hi unapatikana wapi
2026-06-23 02:15:08
0
user1933681939636
user1933681939636 :
hicho kipimo kizuri sana
2026-04-26 15:07:11
4
t_bag996
T-Bag :
hcho kipimo ni kwa ajili ya screening tuu. but sio standard Lab test
2026-04-27 10:13:21
3
yonakidawa11
Yona Kidawa :
kipimo hiki inagarim bei gan?
2026-05-10 11:43:48
0
sokoine98
Dr sokoine :
Kweli kabisa havitoi majibu sahihi sana
2026-04-27 02:55:49
0
shelembimussa
Shelembi Mussa :
Au ni cha kiroho Dr.
2026-05-09 14:58:16
1
lameckkigoma
Lameck Kigoma :
barikiwa
2026-04-26 08:27:32
1
user9715519608029
Mr mea :
Hawa ni matapeli tu
2026-04-26 20:41:14
1
user572253396116
user572253396116 :
Nimepima kipo sawa na dawa zao nzuri
2026-05-28 22:44:01
1
user30373263968132
mhidin :
hicho kipimo wizi mtup hamna kitu bwana
2026-06-03 11:58:47
1
abdi.ayoub.mohra
Abdi Ayoub Mohra :
Hvo vipimo hamna kitu
2026-04-27 10:22:42
1
01123581321madenge
MADENGE II :
Kasome Quantum metaphysic utafahamu uwezo wa hicho kipimo.
2026-04-26 21:49:10
1
yuu_wang
yuu :
soma zaid brah
2026-04-27 01:52:29
1
aishahussein1234
Aisha Hussein@bb :
mungu atakulipa kwa uweili huo naamini. tafadhali emdelea kupaza sauti sana sana tunapigwa tena sh.150000/. allah akulipe kheri nyingi sana. riziki zako ziongezeke zaidi.
2026-04-26 16:22:17
2
mayowiza
Mayowiza :
Asante sana dr, hoja za msingi sana hizi
2026-04-26 14:20:30
2
emmanuelshija.119
emmanuelshija.119 :
natamani mawasiliano tuongee zaid kama hutojali
2026-04-26 13:51:01
1
elvian.ludovick
elvian ludovick :
kipimo Cha mwili mzima huo ni utapeli, 😀😀😀
2026-06-17 08:21:24
0
danduwadandu
isaya2403 :
mie nishapima kipimo kikadetect shortage ambapo daktari aliniambia hayo mapungufu na kwa hakika ilikuwa ni kweli.
2026-06-25 09:53:54
0
benjamin.mokoge
Benjamin Mokoge :
fact
2026-04-26 14:45:50
0
To see more videos from user @doktanature, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About