@innosgram: Acha kupoteza wateja kwa sababu huna Website. Kama ulivyoona kwenye video, kumiliki website ya kisasa haihitaji mamilioni tena. WebYetu inakupa kila kitu unachohitaji ili biashara yako iwe na heshima mtandaoni na kuonekana kitalamu zaidi. Kwanini utumie WebYetu? Hizi hapa ni sifa za ziada: 📈 Analytics Dashboard: Fuatilia idadi ya watu wanaotembelea website yako kila siku na jua bidhaa gani zinatazamwa zaidi. 📧 Flexible Emails: Pata professional emails unazoweza kuzitumia moja kwa moja ndani ya WebYetu au kuziunganisha na Gmail au Outlook kwa urahisi zaidi. 👥 Multi-Admin Access: Unaweza kuongeza watu wa timu yako kusimamia website na kuwapa 'privileges' tofauti kulingana na majukumu yao. 🔍 Advanced SEO: Website yako inatengenezwa ikiwa tayari 'optimized' kitalamu ili iwe rahisi kupatikana Google na kuleta wateja wapya. 🛠️ Unlimited Web Storage: Sahau habari za website kujaa; hifadhi files zako bila wasiwasi. CHAGUA NJIA YAKO: 1️⃣ WebYetu Pro: Nitakusaidia kukujengea website yako BURE. Unalipia tu hosting(120,500/- kwa mwaka au 12,000/- kwa mwezi) & domain yako(22,500/- kwa mwaka) . 2️⃣ WebYetu DIY: Ingia webyetu.co.tz na ujitengenezee mwenyewe kwa kufuata maelekezo rahisi (0/- TZS kuanza!). 🚀 Nafasi ni chache kwa wale wanaotaka niwajengee website bure wiki hii. DM neno "WEBSITE" sasa hivi au bonyeza link kwenye bio kuanza!

innosgram
innosgram
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 26 April 2026 09:42:20 GMT
2312
103
10
13

Music

Download

Comments

samcreates___
Samcreates_ :
Umeiweka vyema sana mkuu.
2026-04-26 11:34:38
1
amanilongishu
Coach Amani Longishu :
Kaka kama nimefanya hosting kwa watu wengine?
2026-04-26 10:09:39
0
vareelite
VARE ELITE :
Mbona hujibu sms yangu ss
2026-08-15 17:11:42
0
tweezy_africa
Tweezy_Africa :
innos 🔥🔥
2026-04-26 19:48:01
0
To see more videos from user @innosgram, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About