Me ni mtoto kwa mume wangu anileavyo ndivyo nikuavyo 🙏
2026-04-27 08:09:16
113
modher house :
usinishauli utanichanganya😊
2026-04-27 12:56:21
17
mellisa :
afe tu Kwa kweli 🥺
2026-04-27 12:14:11
14
Mama yao :
Apo kwenye kumnunia sasa 😁😁msiba tunao
2026-04-27 08:27:38
82
Epamagirl,@# :
me ntasaidiwa na nan nisife 😂😂😂
2026-04-27 06:11:05
19
Lulu🍀♌️🦁 :
comment section watu wamechoka jmn ndoa hz😁🙌
2026-04-27 17:54:39
6
ritha :
mimi apana aende tu ameniumiza sana afu anaomba msamaha anarudia makosa kazi kuniumiza tu nimechoka iseee
2026-04-27 05:37:39
53
🔥✨haulahype ✨🔥 :
Nimekuelewa mume wangu 😊
2026-04-27 17:48:54
5
Helen :
mimi wangu anananuna yeye
2026-04-27 01:59:47
24
gfpfarm :
the issue is HEART its oready TIRED
2026-04-27 12:43:27
6
Queen🦋naah🦋 :
vyote ivyo mimi nafanya je msiba tunao atuna😁
2026-04-28 00:26:06
11
unstoppable🤱 :
wanatuvunja moyo
2026-04-27 18:49:00
7
Rose Chagula :
nampenda mume wangu,namtii na kumheshimu mungu anisaidie nizidi kuwa mke na mama Bora kwa familia yangu
2026-04-27 06:38:25
37
Mama Mercy J.I :
na mimi nani atanisaidia nisife
2026-04-27 05:45:19
7
Hongera Imma :
kuna kitu nimejifunza hapa asante. baba usichoke kutukumbusha🙏🙏
2026-04-27 18:01:27
6
NOELYN NEEMA MICHAEL 💙💚 ❤️ :
yaani yote nafanya mwaka wa 21 jamaa simpi kelele anabahati sana. mpaka anasemaga nina nidhamu japo nje wananijua mi mkali mwenye hasira maana mi wa mkoa wa mara ila kwa huyu baba jamani anashukuru sana
2026-04-26 13:59:09
40
Zuhura Said :
Nanyi mna gubu na hamna upendo
2026-04-27 08:19:25
10
Sharifa Ally :
naandika nafuta ila asant mungu kwa kuongea namimi
2026-04-27 11:34:37
5
Habibty :
Yaani umeongea point sanaaaa asante kwa ukumbusho
2026-04-27 05:49:09
8
EVA JAMES MWAGANGE :
Asante kwa ushauli mzuri
2026-05-29 09:49:59
2
edyvin :
Yeye mbona hannithamini yeye hanioni
2026-06-04 14:05:20
1
salomemishishi :
Bado unatafuta koment gani dear 🥰
2026-06-19 19:45:55
1
it's bitte💕 :
nachomshukuru Mungu Mme wangu amepata mke 🥰
2026-04-29 05:37:32
5
To see more videos from user @kalungu_therapist, please go to the Tikwm
homepage.