@mbtvkenya: Mwanamke akifanya kazi si kosa, lakini mafanikio yakigeuka kiburi na kupoteza heshima ya ndoa, hapo ndipo nyumba hutikisika. Vivyo hivyo kwa mwanaume akikosa uadilifu na kuwajibika, ndoa huathirika. Suluhisho si kulaumu, bali kurekebisha nia, kuheshimiana, na kuweka mipaka ya dini. وَلَهُنَّ مِثْلُ الَّذِي عَلَيْهِنَّ بِالْمَعْرُوفِ “Na wao (wanawake) wana haki kama zilivyo juu yao kwa wema.” (Surah Al-Baqarah 2:228) Mtume ﷺ amesema: “Hakika Allah ni Mpole, anapenda upole katika kila jambo.” (Bukhari & Muslim) #Ndoa #Heshima #Taqwa #Uislamu #Maadili #Subira #Ushirikiano#mbtvkenya