Biblia haisemi Kaini na Abeli walikuwa watoto pekee wa Adamu na Hawa. Inasema Adamu aliishi miaka 930 na akazaa 'wana na binti' wengine wengi (Mwanzo 5:4).
2026-05-01 21:04:22
10
Apostle Erasto :
😂😂😂WASOME BIBLIA VIZURI
2026-04-26 20:43:28
4
Designer :
Au aliondoka na Mimba ya Abeli
2026-04-27 12:25:24
4
SOPHY THE BRAND :
ata mm nasubir majibu
2026-04-26 16:49:37
3
Essam Mzava :
jambo dogo iko hivi watu walikuwepo ila kwenye utukufu wa Mungu na maadili ya kiroho ilizalishwa hivyo
2026-05-13 11:00:52
1
Rosemary :
kasomeeeeeee kasomeeee yote,,, halafu tafuta OG zote
2026-05-15 18:20:32
0
Real Kazuvi :
Na mm mmenichanganya😂😂😂
2026-05-24 20:00:53
0
IMMA SIGARO :
tusome biblia jamani
2026-06-21 19:46:01
0
salgado :
hujui kitu soma vizuri biblia kijana
2026-06-03 13:25:02
0
##OFFICAL" MAYERE## :
pagumu apoo
2026-05-04 14:58:51
0
lekule :
Biblia inaongelea watu muhimu tuu kama move unavoiona inawatu wengi lakini inazungumzia wale waliolengwa kufundisha jamii tuu
2026-05-15 04:31:40
0
Mr "SOMETHING "💫👑🔥 :
Mm naweza kukujibu vizuri niijua bible samahani kam itawapendeza naomba nafasi ya kuji hili
2026-05-06 21:06:26
0
mjukuu🤍❤️ :
😂😂😂😂
2026-05-01 05:19:54
1
Mwasa💫🇹🇿 :
😂😂😂😂
2026-07-08 11:47:24
0
To see more videos from user @dieliapro, please go to the Tikwm
homepage.