@branding.danny: Wakuu nisikilizeni vizuri, TUNATOBOA, hii ni Vita na haturudi nyuma, mimi nawaambia ukweli, UMASIKINI sio kitu cha kuchekea, UMASIKINI HAUTOKI KWA MAOMBI. Aisee wakuu tupige kazi, kila siku tuna ambiana ila hatusikilizani, Wewe hakuna mtu atakuokoa, Juhudi zako mwenyewe zitakuokoa. Pia acheni kukaa sana Dsm, Haya 🤷🏻‍♂️ NB: Usifanye business mwenyewe, Ukuaji na mafanikio yapo kwenye Strong business Partnership, hakuna mtu anatajirika kwa kufanya business mwenyewe (Fanya tafiti) JESUS IS KING 👑 #MWAKAWAVITA

brandingdanny
brandingdanny
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 26 April 2026 15:11:13 GMT
93890
7333
111
111

Music

Download

Comments

ikaben16
Ikaben :
Hapo ndipo mindset za watu zinapo fail. Focus on being Wealthy, RICH is temporary Wealth is almost permanent.💪🏻
2026-04-27 08:46:20
29
lilyhygiene360
Lily Barbie💞 :
izo searching bar ni vip anyway natafut kaz ☺️
2026-04-29 16:09:40
2
esterleonald290
Ester Leonald :
kweli kaka nakufatilia sana
2026-04-26 15:31:25
20
isetvibes
Somebody☺️ :
natafuta comment inayosema ni nani yupo tayari kupata patnership muaminifu wa kuanza nae biashara nilicho ona ni 1. Mwenye mtaji hana idea ya biashara 2. asie na mtaji ana mawazo ya biashara na namna ya kuendesha Sijui jipo sahihi na mawazo yangu au ndoto za mchana😁
2026-04-27 08:27:35
6
ie.mma
ie.mma_G🦋 ✨ :
Fact 📌 😊
2026-04-26 15:28:06
8
justmymamaa
GrowAura💎 :
mimi ni Binti wa miaka 21 ila kila nikikutana na clip zako bro unanimotivate sana💸🙌🙌, let's Hustle we deserve a good life not bad ,may God bless us 🙏
2026-05-02 04:29:40
2
amandab973
♥️Amanda♥️ :
I like your spirit
2026-04-28 08:07:52
1
josyy87
J WaMipaNgO :
Mzeee nakubl sana tune ofsn kwangu mikochen 255SAUNA
2026-04-26 18:25:26
5
aunty_gee_store
AUNTY_GEE_STORE :
na Mungu akubariki sana, B,Danny
2026-06-17 06:48:12
1
annastephano227
Anna Stephano :
me hata usipoongea nakuelewa sana kaka🙌🙌
2026-04-27 08:17:27
5
tsup147
$@ :
I've alot of idea but I have no idea where to start 😕
2026-05-01 16:35:23
1
mr_tupatupastore
Mr Tupatupa Store :
Well said “Acheni kukaa sana DSM”
2026-05-01 13:59:54
1
stanie424
Ng'wana Moshi🇹🇿 :
kwa heshima sir god ndio kila kitu katika maisha🙏🔥🔥🔥🔥😎🫡💪💪
2026-04-27 17:52:31
3
dujoxcreatives
Dujoxcreatives :
Yes, we are... and let that echo to eternity.
2026-05-01 07:22:50
1
buby194
Bubsy Melman🌸 :
Bible🥰
2026-04-30 12:11:09
1
pidaxlaccar
Laccar45 :
bro samahani kama kuna kazi inapatikan nakuomba unisaidie🙏🙏🙏
2026-04-28 16:53:51
2
i.wade.e
W a d e :
Sahihi
2026-04-29 11:56:22
2
tee.clothing6
TEE CLOTHING STORE👗🛍️ :
Ushauri na maneno yako yananitia sana moyo🤲🏻🙏🏽😇❤️
2026-04-28 12:02:36
1
user5033346223385
Gee~wara🥰 :
AMIN🙏
2026-04-26 17:09:27
2
piucmasanja
piucmasanja :
Chagua kuwa 100% owner wa milion 20 au 60% owner wa 300M "Mafanikio ni watu "🙏
2026-04-28 13:58:07
3
emilianee.nay
Emilianee Nay :
kaka naomba nisaidie 10000 ya kula leo
2026-04-28 14:14:52
2
charlz_chamba
charlz Charles :
Brother nakupataje?
2026-04-26 16:26:08
2
chilafx12
Chila fx📈 :
fact bro💪
2026-04-27 01:27:16
1
suleimanmnyama687
suleimanmnyama687 :
oya tuna toboa 🫡🫡🫡🫡🫡🥹🥹
2026-04-27 08:03:19
1
anna.john778
Anna John :
Amina kubwa🙏🙏🙏🙏
2026-04-27 02:45:54
1
To see more videos from user @branding.danny, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About