@rashidbattashy: CHEKI MSAFARA WA RAIS SAMIA ULIVYOINGIA KWENYE KONGAMANO LA MIAKA 62 YA MUUNGANO WA TZ Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amewataka Vijana kujitambua na kurejea katika mshikamano ili kulinda umoja na amani ya Taifa, akisisitiza kuwa nguvu ya Nchi ipo kwenye mshikamano wa Watu wake hasa Vijana ambao ni msingi wa kesho ya Tanzania. Dkt Samia ametoa wito huo wakati akizungumza na vijana wa UVCCM katika kongamano la kuadhimisha miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja Dkt Samia ameeleza kuwa kuna dalili za kulegea kwa mshikamano miongoni mwa Vijana hali inayohitaji kurekebishwa kwa haraka Akizungumza katika kongamano hilo Rais Samia amesema ni muhimu kuendelea kuwepo kwa mshikamano wa pamoja na kuendeleza kutunza amani na utulivu uliopo Nchini Ameongezea kuwa Serikali itaendelea kutoa fursa mbalimbali za kiuchumi kwa vijana wa Tanzania ili kustawisha maisha yao ya kila siku

Rashid battashy
Rashid battashy
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 April 2026 04:26:49 GMT
37227
606
8
14

Music

Download

Comments

user9032330787478
juma issa :
sim zao si zinaroa na mvua jaman jeshi linakazi kubwa linaitaji kupongezwa
2026-09-27 14:34:38
0
4karihe
karihe :
kila la kheri mungu adumishe amani na umoja
2026-04-27 12:31:24
1
user2234316728337
samweli :
poleni sana
2026-09-08 13:41:52
1
munahamad855
Muna Hamad :
huyu ndo rais wetu sisi mungu akupe nguvu mama yetu na akupe shufaa kwakila linalo kukabili mama yangu
2026-04-27 13:22:40
3
goodluck52715
Goodluck :
👏👏👏👏👏👏
2026-05-04 06:04:23
1
ramso2049
ramsotz🤙 :
🥰🥰🥰
2026-08-30 15:33:22
1
_sulesh_
Bunaji :
😳😳
2026-04-29 20:45:35
0
munebab59
🛍Mune babe 🛍 :
🤩🤩🤩
2026-05-01 12:52:38
1
To see more videos from user @rashidbattashy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About