@wepesitv: Mwanaume, umeshawahi kukutwa na tatizo gani kubwa hadi ukataka kujiua? Mtumishi wa Mungu Sam Sasali Hapa anatoa ushuhuda wa mtu aliyeenda kumuomba ushahuri mzee mmoja kisha mzee huyo akamtolea mfano yeye kuwa "Amewahi kumpa mimba mama mkwe wake"
mm siwez kuangalia video mpaka mwisho bila kwenda kusoma coment kama na ww ni hivyo bas njoo kwa like
2026-04-28 09:24:45
79
The Perfects :
Sio Harmonize Huyo !?
2026-04-28 09:36:20
26
kidotie💞 :
hii kweli ni media ya wepesi Tv nilielewa haraka🥺
2026-04-27 14:02:35
42
Crane / equipments Tanzania :
:Kama utafatilia Aya Mambo kwa umakini
mkubwa na kufatilia kiundani siku Hadi siku tangu zilivyoanza hizi taarifa mpaka kufikia hii leo kwa namna ilivyo pande zote mbili alafu ukasoma text yangu vizuri na kwa utulivu mkubwa Utagundua kwamba mimi sina la
kusema asanteni sana🙏🙏🙏
2026-04-28 12:25:04
8
nadotz :
hii media gani
2026-04-27 14:17:58
13
Irelove 🌧️ :
mmmmh unauakika
2026-04-27 15:45:52
13
eliantabahanyi :
daal noma sana hii
2026-04-27 18:30:49
10
Born to Prosper :
ndio maana Yesu ako Karibu kurudi maana usherati imezidi tuombee hiili jambo
2026-04-27 18:34:31
14
Tinniy Magali :
Mliokuja kusoma comment yangu naomba like video zangu mungu atawafanyia wepesi kwenye utaftaji wenu 🙏🙏🙏📸📷
2026-04-29 13:08:40
7
ndawulisportsgear :
Karibuni kwa vifaa vya michezooo
2026-04-28 12:08:23
5
Mosha :
😂😂saafi sanaaaaaaa
2026-04-27 16:23:05
14
jacksonjoel53 :
huyo mtu ni mimi
2026-04-27 16:08:20
5
dzole :
true story
2026-04-27 17:50:14
5
Reonard Ddinia :
😁😁😁😁 sahihi
2026-04-27 12:21:57
11
jj :
watu wanazambi jamani
2026-04-27 14:06:00
5
H20king :
😅😅😅😅😅 Jimix tu uone
2026-04-27 13:10:25
8
komododrago845 :
amina
2026-04-27 11:27:27
9
Madigison :
ila Samu
2026-04-27 15:21:05
6
To see more videos from user @wepesitv, please go to the Tikwm
homepage.