Hakuna ajuaye . Alikuwa mwizi ama ni issue nyengine Mungu ndiye ajuaje 🤲
2026-06-12 14:48:44
11
Gharib Khalfan :
tusikubali kuvunja Amani iliopo katika nnchi yetu.
tanzania haija jengwa kwa chuki tokea zamani.
tuzidi kumshukuru mungu na mikono ya umoja ulio simamiwa na viongozi wetu waliopita.
hata hapa Tanzania inawezekana kuvuja katika vijana kama hawa na kutenda kama haya.
maakin Mungu Aamlinde huyuu Aliepata mtihani huu.
2026-06-12 09:42:54
19
Sam tz :
i'm tired for this
2026-06-12 21:37:22
1
PREIZDAH EL7 :
wasouth wote round hii mtaipenda maanina zenu🥺
2026-05-22 21:06:50
123
shalokx333 :
I will be south korea fan in next game world cup
2026-06-13 06:23:30
8
muuh tallent :
hii ya mda sana alikuwa ameiba
2026-05-22 21:33:32
57
user1734226863228 SAILUDA :
imeniumiza sana, Mwanaume ameenda kupambania life ya watoto wake na wazazi wake daaah, Mungu tusaidie sisi wanaume
2026-05-09 09:47:45
93
jasmine23667 :
Nimejikuta nalia sana 🥺🥺ila Tanzania pekee ndo nchi yenye upendo dunian yaani mataifa mengine wanaroho mbaya sana🥺🥺
2026-05-28 20:51:33
41
Juliet Ivan :
leo sina bahati yaan tangu nimeingia tiktok nalia tu kwann lakini hii dunia inamateso hivi😭😭😭
2026-06-03 01:53:40
17
HusseGOTKEYS :
mungu atalipa tu kwa hichi wanachokifanya🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺
2026-06-12 19:28:25
9
Saleh Mohamed :
sisi ni wachache sana hapa Zanzibar pia tunataka ajira na maisha mazuri
2026-06-02 04:53:05
9
user3023220700621 :
muombe mungu musije kwenye nchi zawatu mutaisoma namba
2026-06-02 09:23:42
13
sellyawinja3 :
ooh my goodness
2026-06-13 06:10:47
0
king vortex🫅🤴💪official :
imeniuma sana mimi
2026-05-22 16:08:25
18
Elia furniture :
wanapenda kujiamulia mambo
2026-06-01 18:31:45
6
Saul Onesmo :
Ime niuma san😰😰😰😰
2026-06-02 08:10:42
6
Freddie :
What has he done wrong??
2026-06-04 14:37:27
6
Julius Mburujulius04 :
what happened
2026-06-13 03:56:31
0
mkashashi 🤴 :
kwani hizi video hazifikii hizi serialized zote mbili??
2026-06-04 12:43:36
5
The billionaire doll :
Wasouth makuma sana aiseee🥺
2026-05-30 22:36:58
6
James C.B.E.J.J👑 :
hii inauma sana
2026-05-31 10:18:39
5
DJ pocca💦 :
daah
2026-06-07 15:01:00
1
JeremiahDaniel jrd :
pole Sana ndg yangu
2026-06-13 04:41:13
4
user2778137145046 :
Mlaaniwe.Mungu ameliona hili na Mtakuja kujutia siku za mbeleni...
2026-06-13 10:28:50
4
Q⌚️ :
safi sana video imekaa pow sana
2026-06-09 09:00:22
4
To see more videos from user @matukioonline_tv, please go to the Tikwm
homepage.