@shekhebakathir0: Maandalizi ya Shampoo (Rosemary + Onion + Clove + Aloe Vera): Viungo: Kitunguu (onion) maji yake Rosemary (majani au mafuta) Karafuu (clove) Aloe vera gel Shampoo ya asili (unscented) Hatua za kutengeneza: Chemsha karafuu na rosemary kwa dakika 10–15 kisha ipoe. Saga kitunguu kisha chuja upate juisi yake. Changanya juisi ya kitunguu + aloe vera gel + maji ya rosemary & clove. Ongeza shampoo yako ya asili na koroga vizuri mpaka ichanganyike. Weka kwenye chupa safi tayari kwa matumizi. Matumizi: Tumia mara 2–3 kwa wiki kuosha nywele kwa matokeo bora 🌿#HairGrowth #NaturalShampoo #RosemaryHair #OnionHairCare #HealthyHairRoutine