@mr_it_thereal_hucking_:

MR IT
MR IT
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 April 2026 08:16:38 GMT
655068
20142
963
5905

Music

Download

Comments

user3584308420718
qwess :
Hawa ata chips ukute hawajahi kuziona😅😅😅😅😅
2026-04-27 20:20:55
756
officialfeeh
Feeh♓️ :
mzee anamwaga moto kma dragon😂😂😂
2026-05-15 22:38:50
59
muraboy_tz
Muraboytz. :
inauma sanankati ya watoto 104 damu ya mzee ni watoto 16 tu ila wanawake🙌
2026-04-27 17:32:09
225
aliasudi
Official yahna :
mnaongeza umaskini tu
2026-04-27 21:08:06
70
anjelinapetro09
car_yn 💖 :
Hii ndio nendeni mkaijaze dunia 😅kwa kwel
2026-04-28 05:36:45
151
outfi31
nancy closet👗👗👚 :
hii kitu ipo mkoa gani😂
2026-04-27 19:05:33
33
kiriginidaniel
full package :
20/20
2026-04-27 18:13:25
7
yourstru..ly___
ℳ𝓸𝓷𝓷𝓪𝓱__💕 :
Kitombile pro max duh!
2026-05-16 10:18:51
7
user9600263072614
🍒 :
Huyu hajawah kula chips
2026-04-27 18:40:06
31
neyngopa
Ngopaney@05❣️ :
afanye mpango atengeneze nchi yake sas🥰🥰
2026-04-28 14:54:03
15
rmelaniabeauty
rmelaniabeauty :
😅😂Mirad mwenyewe anashangaa
2026-04-28 06:29:36
13
mbenaog10
🎱༺✯MR BIO✯༻💙 :
Aka kazee ni
2026-04-29 09:47:08
5
elisha.simon1
Elisha Simon :
kwani kwenye kijiji hicho mwanaume alikuwa ni yeye tu jamn😅
2026-04-28 06:18:35
72
masai.24
Masai🇰🇪 :
Mhenga Sisi tukiwa na wa nje mmoja tu tunaitwa Wahuni Kumamake 🫵🫴🙌
2026-04-27 17:12:26
47
sarafhina.omary
🐾macho♥mazur🔥 :
uyu baba anapnda ngono sana
2026-04-29 09:28:02
13
catherinevalonge
@cathy🌹 :
arafu mzee mwenyewe bado yupo smart kabisa haja zeeka sana☺️
2026-04-28 18:50:08
12
anethsamu586
Aneth Samu :
hii ni media gani tena 😳😳
2026-04-28 04:06:37
8
philomena.geofrey
Philomena Geofrey :
uyo namuona kabisa baba mtoto wangu
2026-04-28 11:52:40
7
hubethmfalo
Passion-vee🥰 :
Na wanapendana kweli wake zake🥰
2026-04-28 08:23:27
7
jackrinesanga1
jackrinesanga :
ivi ni kwel jaman
2026-04-27 18:17:14
16
boxhein_037
Boxhein_Criddie :
Nan mwngne kaona nembo ya manchester united km mim 🙌🙌 gonna like ap
2026-04-28 07:03:42
8
bilali6984
bilali :
au hii ni AI haa🤣🙌🙌
2026-04-27 16:50:57
10
salahwilson3
salehwillsonwv :
Mzee Wewe NDo mimi kabisa ,
2026-04-27 19:15:58
8
ankokipensi0
OFFICIAL KPTEE :
hii ndo zaeni na mkajaze dunia 😅😅😅😅
2026-04-27 18:54:11
9
bestarlinus3
Bestar🌠❤️💯 :
Mwanzo 1:28: “Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha…”
2026-04-27 17:08:09
7
To see more videos from user @mr_it_thereal_hucking_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About