@abdystudios: Ujuzi mdogo kama huu ndio unaotofautisha kazi ya 10,000/= na kazi ya 100,000/=! 💰✨ Wateja hawalipi kwa sababu unajua kutumia kompyuta, wanatupa pesa kwa sababu tunatatua matatizo yao kwa ubora wa hali ya juu. Unataka kujifunza jinsi ya kutengeneza kazi zenye viwango vya Kimataifa? Nimeandaa kozi kamili ya Graphic Design kuanzia mwanzo mpaka kuwa pro. ✅ Ofa maalum kwa watu 10 wa kwanza leo! Nitumie ujumbe (DM) sasa hivi kupata punguzo la 20% #GraphicDesignTanzania #PhotoshopTips #JifunzeGraphic #AdobePhotoshop #TanzaniaCreative #GraphicDesignCourse

Abdy Studios
Abdy Studios
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 April 2026 08:54:25 GMT
8862
521
18
30

Music

Download

Comments

marycreates.tz
Michell Biw :
i wanna be ur student
2026-06-01 08:14:12
0
mbeya2045
fan0430 :
Kwan unatumia program gani
2026-05-28 09:40:25
1
machiya.phabian
machiya phabian :
safi sana kaka unajua sana
2026-04-28 15:22:41
1
ommymaster0
Ommy Master :
Nimeipata hyo boss
2026-04-28 05:38:35
1
kiluainn_official
@Kiluainn_official :
Kwenye Ai je?
2026-04-27 14:45:39
1
sinyaxie_tz_25
Holyvibes🏘️🏘️ :
ntazidi kukoment mpka uni Dm nataka kuwa MWANAFUNZI wako kk ntakutumia nilizojarib Kam mmi🙏
2026-05-03 23:32:04
1
nuurul_ihsaan_foundation
NUURUL IHSAAN FOUNDATION :
abdy utaua🔥🔥
2026-04-27 11:25:42
2
nexercreative
nexer Creative :
👏👏👊
2026-04-28 08:36:58
1
itx_d_kid
itx_d_kid :
🔥🔥🔥
2026-04-27 09:02:29
2
To see more videos from user @abdystudios, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About