Mungu Naomba unipe kibali mbele zako na mbele za wanadamu kitu Naomba kila kukichaaa
2026-04-27 18:37:33
135
Lightness john :
Ukikaa karibu saana na Mungu unajikuta unamuamuru..yaan unaamuru Mungu akufanyie..unaweza kujiona unatoa ombi lkn sio😂😂 but nayenyewe inaruhusiwa..Mwanzo 1:3-28..Asante dada kwa somo but kiukweli kukaa na Mungu ni raha sana✨️
2026-04-30 03:43:25
41
role model collection :
karibuni top sweater nzuri sana🥰
2026-04-28 08:12:39
11
Lively stapes kariakoo :
Ameen Bado sijajua kuomba ipasavyo ubarikiwe dear🙏🙏
2026-04-28 01:07:33
10
Miss Lee🦋🌝 :
Omg nimejifunza kitu🥰🥰🥰 mimi huwa sijui kuomba Jamn 🥺
2026-04-27 18:17:14
26
KissaRahabu :
❤️❤️❤️❤️❤️Nakupenda dimples
2026-04-27 13:10:30
5
Chekea_outfit _Kahama 💕 :
Hapa kuna kitu nimepata mmy 🙏🙏
2026-04-27 18:02:49
7
VENE_COSMETICS_TABORA :
THANK YOU SIS ❤️🙌 maombi mazuri mno
2026-04-27 13:41:56
15
Navly kyara :
Be blessed mumy umenipa kitu cha zaidi leo
2026-04-27 16:14:11
5
neyma :
ni kwel kabisa
2026-04-29 07:45:51
2
@uncommonskinluxe :
Amina well said my 💕
2026-04-27 16:11:30
4
Munine :
najifunzaga sana vitu kwako 🙏🙏
2026-05-14 20:57:05
2
iam jenny🦋 :
nishapata ombi la kuomba usiku wa leo🥰🥰
2026-04-27 20:22:10
7
Olive_glow :
Huna naongea na Mungu kama naongea na rafiki yangu tena kaa sauti na naongea nae popote nitapokua nimejiskia kuongea nae naongea nae tena kaa sauti ..na huwa ananiskiliza na kunijibu kama tulivyozungumza..NINAKUHESHIMU MUNGU UNAEISHI🙏
2026-05-08 17:56:42
7
BatulyB :
Naomba hili leo leo
2026-04-29 19:39:27
0
2ke360 :
Umenifunza kitu kikubwa sana, Mungu akubariki sana
2026-04-28 16:39:29
4
Scallethy Msuya Happyness :
natamani nijue kuomba mim naona nakosea kbsa
2026-06-06 18:01:37
1
OfficiallyBikitonga💞 :
Hii ni kweli na nakubaliana na wew kabisaa! We have to change our prayers!! Barikiwa sana ❤️
2026-05-29 05:37:45
1
BestiQ handbags :
Asante mungu akubaliki
2026-04-28 14:11:59
1
lizzylishe888 :
Ameeen🥰
2026-04-27 19:34:29
2
@Its-Gee🌹🌹 :
umenifundisha kitu kizur na kikubwa🙏
2026-04-28 20:07:01
1
🌺Ummuh_Thally Hennah🌺 :
Thanks dada mrembo
2026-04-28 21:24:03
0
Pendo Mashuka| Home Deals :
Ni kweli kabisa Da Dimple
2026-04-29 06:44:08
0
Celina :
asantee 🥰
2026-04-28 14:26:46
0
Retro cake -tz :
Asante dada 🙏🙏
2026-04-28 06:30:41
0
To see more videos from user @dimples_cosmetics, please go to the Tikwm
homepage.