Mungu bariki wanaume wote wanaopamba kupata rizki zao 🙏🏽
2026-04-27 22:24:49
1257
amy wabongo🖖👊🥷🥷 :
ukute yeye ndokiongzi wandugu wote😭😭
2026-04-28 09:06:17
414
missDee🥀 :
kama Umeshawahi pitia life gumu gonga like ☺️☺️
2026-04-28 15:28:21
383
𝐀𝐡𝐦𝐚𝐝_𝐃𝐮𝐧𝐠𝐞𝐫⁹⁹ :
Ipo siku mungu atammulika tochi ya mafanikio💯💯💯
2026-04-28 09:06:42
97
HONORABLE CHILA 🇹🇿 :
Hii video inazungumza mambo mengi sana
2026-04-27 19:41:17
121
alpha_744 :
God give him more power to success
2026-04-28 09:30:05
8
Munira me🦋 :
Inshallah mungu hamuachagi mwenye juhudi
2026-05-23 05:46:11
8
eneka28 :
Mungu wabariki wanaume wapate mahitaji yao na ya familia sawasawa na mapenzi yako
2026-04-28 07:25:12
111
barzgreilly :
daaa mungu wayakobo ndo mungu wetu mungu tubariki boys wote
2026-06-13 14:37:15
6
Vee~Jose :
Dah ila wanaume🥹🙌
2026-04-28 05:35:55
30
Peaston rwiza :
mungu atusaidie
2026-04-28 11:34:40
10
CRUZY07💫 :
10/10
2026-04-27 23:06:55
6
_ADEN :
mungu pamoja nasi🔥❤️
2026-04-28 07:26:01
9
KIBUAH 🇹🇿💣♎ :
wanaume tunapolia… dunia haisikii sauti, lakini mbingu na ardhi zinatetemeka, Ni machozi tunayotoa mbali sana kutoka kwenye ndoto zilizovunjika, kutokana na matitzo ya kifamilia,
kutoka kwenye mapambano tuliyopigana kimya, kimya
kutoka kwenye maneno tuliyomeza ili tusionekane dhaifu mbele za watu..mtuhurumiee aisee..🙌🙌🙌🙌🥹
2026-04-28 09:14:23
27
E-sir :
Ipo siku✊❤️
2026-04-28 07:21:44
7
p.i.c.o.l.o.❤🧸 :
no give up🥺💪
2026-04-29 18:35:46
5
jofrey jimmy :
dua kaka
2026-05-02 17:30:53
5
Faraja🙏 :
Hustler🙏 akati tamaa bro tunaumia dakika moja tunaendelea na mishe
2026-04-30 11:28:39
5
jumandudy 👑☠️ :
wale WA mabasi ya njano hawawezi elewa hii situation 😔
2026-04-28 11:03:04
63
kamkama wiliam :
pore sana ndugu yang mungu abariki kazi yamikono yako
2026-04-28 06:57:36
12
M.C.H.I.N.A.🇨🇳 :
allah mjibu huyu kwanza🥹🤲
2026-04-29 13:01:31
5
msonashi :
respect sana hakuna kukata tamaa kwa wapambanaji wote
2026-04-28 11:32:54
7
calvinjumaa0 :
Respect kwa wanaume👑👑
2026-04-28 08:04:54
7
To see more videos from user @search_historyy, please go to the Tikwm
homepage.