Sijui Kama nikishawahi kuwa msafi shuleni ..kwanza Nipo peku pili nimevaa nguo za nyumbani siyo uniform tatu sijaoga nimenawa tuu uso masikio maji hayajafika ila sasa hivi PhD inapumua tuu😁😌
2026-04-28 09:55:02
131
Petro Kogira :
daah wengine tunazuga kwenye Ngoma hapo
2026-04-28 14:50:03
88
Ommydear Fashion✅ :
Daah nakumbuka la 7 2017
2026-05-21 07:44:06
20
maroon :
kama hujavaa soksi pita mbele...🤯🤯🤯
sentensi hii imenitesa sana🙈🙈
2026-04-28 16:59:53
44
fififaith02 :
WACHAFU WA TOKE MBELE song
2026-04-28 04:03:55
37
zachariapetro8 :
Shida syo kuimba,umeesab namb?
2026-05-20 21:09:26
9
A d s :
mda huo mimi nipo nyuma ya choo 🤣🤣
2026-05-29 06:37:12
13
dorin 💕titus :
wimbo wa shle
2026-04-28 18:01:17
1
Toxic :
wale wa kujificha poloni gonga like hapa familia
2026-05-23 12:47:37
12
MR NUHU KHAN :
usafi
2026-05-30 09:00:45
1
hamidumvumo :
wazee wachaka tushapotea zamani
2026-05-21 13:33:09
6
Kaumbya Costantine :
mwenye nywele ndefu mkasi unapita
2026-04-28 09:42:53
29
Easter baby :
sitawez kusahau Mimi mamb mema ya kwet kabisa Tanzania Tanzania nakupenda kwa moy wote
2026-04-28 18:28:42
5
JBM&TRADERS BRAND🌍🌎 :
usafi😅😅aloo
2026-04-28 00:42:45
10
loid :
kama huhawahi namba 😂😂
2026-04-28 11:56:06
12
Jamila👩👦 :
ukaguzi
2026-04-28 11:16:19
5
🧜♀️ 🧜♂️ :
nywele zilikuwa zinaniponza nikaanza kuvaa juba😅😅😅