@rosemarynaafya: *Uvimbe kwenye mayai ya uzazi (ovaries)* ✅ *Sababu za uvimbe kwenye mayai:* 1. *Mabadiliko ya homoni* – hasa kwa wanawake wa umri wa kuzaa. 2. *Ovarian cysts (vijivimbe vya kawaida)* – mara nyingi hutokea bila tatizo kubwa. 3. *Endometriosis* – tishu zinazokua nje ya mfuko wa uzazi huweza kushikamana na mayai. 4. *Maambukizi ya njia ya uzazi (PID)* – huweza kusababisha uvimbe. 5. *Matatizo ya urithi au vinasaba 6. *Saratani ya ovari* – nadra lakini ni aina mbaya ya uvimbe. #rosemarynaafya #videoviralitiktok #usa🇺🇸 #germany🇩🇪 #kenyantiktok🇰🇪