@abdutechcomputers: ✨ Kucheza Cheza Kwa Umeme Au Kukatika Kwa Umeme Kisiwe Kikwazo Tena Kwako. ✨AbduTech Services Tumewaletea Ups Zenye Uwezo Wa Volt 850 ✨ Hii Ata Umeme Ukikatika Ina Uwezo Wa Kuhifadhi Umeme Ambao Utakusaidia Kumalizia Kazi Zako na Kuzima Vifaa Vyako Vya Umeme Kwa Usalama ✨ Inasaidia Kubalance Umeme Ambao Unapungua na Kuongezeka ✨ Ina Sehemu Ambayo Unaweza Kuchomekea Extension Cable Mbili 💰 Bei ni Tsh 155,000 Tu ☎️ Call & Whatsapp : 0629753257 💢 Tupo Msamvu Morogoro / Mikoani Tunafanya Free Delivery

AbduTech Services
AbduTech Services
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 April 2026 17:33:14 GMT
1869
40
3
2

Music

Download

Comments

shadju1
shadju DJ :
niko kongo munatumaga
2026-06-08 21:23:13
0
smash_rajj
smash lord :
twende taratibu 850volt unatumia wapi hada three phase hautumii hiyo hapo ni watt 850 sio volt
2026-08-24 06:02:06
0
juhudymoviestore
JUHUDY MOVIE STORE :
umeme ukikata inakaa muda gani natumia desktop kubwa
2026-04-28 12:17:43
1
To see more videos from user @abdutechcomputers, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About