@damshiboy6: Hakuna kitu kinaumiza kama kuona mama ako umri unazidi kwenda alafu wewe bado hujafanikiwa#fyp #viral #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬
Naomba kwamungu Kila siku nifanikiwe kimaisha kipindi mama angu Yuko ah na namini mungu Yuko nam siku zot
2026-04-30 07:27:47
12
balaghash :
iyo ni ndoto ya vijana wengi mwenyezi mungu azidi kutubariki vijana wote wapambanao kwa ajili ya kutunza familia zao na kuwapa wazazi wetu tabasamu .hakuna kukata tamaa kwenye maisha
2026-05-29 11:32:26
10
feyzah mrisho❤😍 :
allah nakuomb nijalie kipato niwasaidie wazazi wang🥰 umri wa umeenda ameen
2026-05-03 17:28:09
7
AB :
nikweli kabis inauma san
2026-04-28 13:49:42
6
Pracxeda Adolf :
binafsi inaniuma sana we mwenyezi mungu nijalie niwe na kipato nimtunze mama na ndugu zangu
2026-05-13 21:06:08
6
theladyinafrica :
Mungu tuxhike mkono cic wanao 🙏🙏🙏🙏
2026-04-28 04:19:01
5
Lucia John :
inauma sana mungu tulindiye wazazi wetu tunapofanikiwa waonemafanikio yetu Ili wajue kuzaa laha mungu nilindiye mama yangu kipenzi
2026-04-28 17:16:05
5
Real prophet :
Mungu mwema ,wakati wangu na wako upo🙏🙏
2026-06-03 21:08:16
1
kipande :
inauma
2026-05-06 16:32:18
3
90 :
inauma sn
2026-05-15 16:50:30
2
felicityalfred832 :
dah!!!! mungu nisaidie kipato niwasaidie wazaz wangu
2026-06-03 13:46:37
1
hajrah🥀🥀🥀 :
mungu awalind mama zet
2026-06-11 19:40:47
1
Salumuuu Hassanii :
inauma sana kaka daaaaa
2026-06-06 21:25:28
1
Alexander sunchez :
kweli inauma
2026-04-28 18:00:25
1
To see more videos from user @damshiboy6, please go to the Tikwm
homepage.