@iraq20_07: ##مليون_مشاهدة❤ #صداميون #حزب_البعث_العربي_الاشتراكي #صدام_حسين #صدام_حسين_المجيد_رئيس_جمهورية_العراق

٭۬ﮧالـۂٰ۫عـﹻ۬ﹻۧۧـراقۦ٭۬ﮧ🇮🇶
٭۬ﮧالـۂٰ۫عـﹻ۬ﹻۧۧـراقۦ٭۬ﮧ🇮🇶
Open In TikTok:
Region: US
Monday 27 April 2026 20:05:10 GMT
574334
28785
442
1460

Music

Download

Comments

user8410998813187
احمد نبيل :
2026-04-28 21:35:35
8
user7880429875295
الحنين ابن ديالى :
صدام حسين وبس🫡🫡🫡🫡
2026-06-13 23:51:50
3
lionlion56531
Djamel hm :
الزعيم يبقى زعيم
2026-06-07 17:43:28
2
sosch1234
🖤ام السوس الجبوري❤️ :
الله وأكبر صدك رجال
2026-06-09 13:15:38
4
iiii44910
ابو عليوي 😜 :
2026-05-07 18:50:39
7
ndhkohg
Twins Brand🐅🐆 :
الله يرحمك
2026-06-10 04:14:47
1
bdj.jr
العشك A-F M الحسيني :
😔 محتاجتين وجودك حاليا
2026-06-10 19:21:05
2
user8035112343574
🦋فراشـــــــــــة 🦋 :
اسد والله تاج راس كل
2026-06-08 14:00:10
4
user3393847384753
منليسا 🩷 :
صدام حسين رايس العراق وبس هو زلمه
2026-06-11 08:35:25
9
user45037919563322
ام مصطفى :
ابو هدله المعروف لايعرف
2026-06-21 09:51:19
1
iiioooppllm
رحـيـل ☘️ 🇮🇶 :
المعروف لا يعرف ❤
2026-06-11 05:31:13
1
bint7354
𝓑𝓲𝓷𝓽 𝓐𝓵-𝓞𝓫𝓪𝓲𝓭 :
اهنا الهيبه اهنا الشهامه الله يرحمك يابطل 🤲
2026-06-11 10:49:26
2
.eiias86
🩺🪽Nira 🤍 🩹 :
تحيا زعيم صدام حسين
2026-06-13 18:36:11
2
.g26308
💞 هادئه 💞 :
الله يرحمه برحمته واسعه ويسكنه فسيح جناته
2026-06-10 18:01:32
1
k1ng_x91
عمر السلامي الشيخ عيسى :
2026-04-27 21:57:10
5
1.ma2011
؏ـامࢪ☆🤎✈ :
2026-06-11 15:58:15
2
soltana4277
Sultana ❤️‍🔥👑 :
عظمه🌹
2026-06-08 22:18:34
1
user41599033617373
وليد :
2026-05-24 09:07:35
1
afsgak
Ali Alighar 🫰 :
2026-05-26 23:42:41
1
abdelaliajaadate
Abdelali Ajaadate :
حياة لا تسثهل منك خواف مدام انك مع الله
2026-06-14 00:22:14
1
dyy4h4ajij93
علي القريشي :
الك عاش يابطل
2026-06-14 01:57:19
1
shankalistaff
اركان شنكالي :
2026-05-21 22:17:26
3
16_h_o8
حسون :
2026-05-18 21:59:17
3
To see more videos from user @iraq20_07, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Pima nnyaa yako leo utakuja kunishukuru baadae  pima h pylori leo kwani hawa 🦠 wana balaa hawa si mchezo, usihisi umelogwa au umetupiwa maimuna,subiana au samsuli kichwa upande, pima hawa kwanza  ule dawa zake za kutosha na maisha yaendeleee  pimadundumio,sukari,fbp,figo,ini,mafuta,kongosho,chumvi na homa ya ini leo utakuja kunishukuru baadae  kama una tumbo wewe ni mgonjwa taka usitake. umenuna?? kama umenuna basi ondoa tumbo hilo haraka sana  DALILI ZA UWEPO WA MAAMBUKIZI YA H PYLORI kila mtu ana muda wake wa kupata dalili,wapo watu ambao hupata dalili mapema kabisa na wapo watu ambao hawapati dalili kabisa na wanakuja kugundulika baada ya kupata madhara au matokeo ya maambukizi ya huyu kimelea.  1.MWILI KUCHOKA CHOKA SANA:Mwili kuchoka choka kutokanako na maambukizi ya H pylori hua ni uchovu wa  vipindi kwa vipindi,marazote mgonjwa anaanza kupata hali ya mwili kuchokachoka mida ya jioni na usiku,asubuhi mtu anaamka na hali ya uchovu uchovu  2.HOMA ZISIZOELEWEKA:Homa za H pylori hua ni za vipindi kwa vipindi,marazote mgonjwa anaanza kupata hali ya mwili kua na joto mida ya jioni na usiku,asubuhi mtu anaamka na hali ya joto 3.MWILI WOTE KUUMA UMA: Mwili kuuma uma kutokanako na maambukizi ya H pylori hua ni kwa vipindi kwa vipindi,marazote mgonjwa anaanza kupata hali ya mwili kuuma uma hasa mida ya jioni na usiku,asubuhi mtu anaamka na hali ya kuuma uma  4.Hamu ya mapenzi kupungua na maumivu ya nyeti yasiyoeleweka 5.Kubeua beua na kujamba jamba mara kwa mara 6.Tumbo kujaa jaa gesi na kunguruma nguruma 7.Hamu ya kula kupungua na ukila kidogo unashiba harak 8.Tumbo kuuma,kuvuruga vuruga,kuharisha na kutapika 9.Kupata choo kidogo au kingi sana na chenye harufu mbaya 10.Kupata choo chenye mlenda mlenda au kamasi kamasi nyingi 11.Kuhisi kwenda kunya lakini ukienda chooni hunyi na unaishia kutoa upepo 12.Kutokewa na upele upele mwlini unaowasha,wengi hudhani wamepata aleji mwilini 13.Kuwashwa na kupata mtekenyo mtekenyo matakoni 14.Maumivu wakati wa kunya #doktamathew

About