@wakandagallery1: R.I.P legend..thanks for the good song. #Spacktz #usiniache #wakandalyrics

Wakanda Gallery👑
Wakanda Gallery👑
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 27 April 2026 22:16:14 GMT
417347
27301
659
1134

Music

Download

Comments

user266140454748
piurt :
hii nyimbo kaimba yeye kwan
2026-04-28 16:53:53
12
graceleonald
COOPER 💜 :
wasanii wa zamani walikuwa mahendisamu hatar
2026-04-28 11:35:50
204
aydaaliy1
aydaaliy2 :
mola amsameh makosa yake atupe nasi mwisho mwema
2026-04-28 12:19:40
150
barakajr18
Chilumba jr :
kule spack,Suma lee,ngwea,pingu na ndenso,Mr blue,dully Sykes,Abby skills alooo kaa mbali walikuwa wanaimba Hawa tu bhana alafu wanajua balaaa
2026-04-28 18:06:12
34
maryjaynyaralfy
Mary Jay :
Hii song reminds me of someone 🥺hope life treats him right wherever he is .
2026-04-28 19:05:12
10
ummyahmedy
Ummy Ahmed :
waloandika hii nyimbo kwenye daftar walipokuw shule gonga like hapa
2026-04-28 09:59:48
186
tonyg363
Tony G :
Spark alifariki lini wakuu?
2026-04-28 20:22:20
9
farida.juma27
Farida Juma :
Alla akupe Nuru njema 😭
2026-04-29 20:43:15
4
user24736317093454
Yusuph malius :
hii ngoma ilinigusa kwel,mungu amulaze maharapema peponi
2026-05-01 13:01:48
3
neimalmaula2
🦋Neimal Maula🌸 :
enzi za uhai wangu😔
2026-04-28 20:50:05
3
sayada302
SAYADA :
Allah akule Kaur thabiti🤲🤲🤲🤲
2026-04-28 06:35:07
31
user7746548910177
user7746548910177 :
R I P spaak hinyimbo nilikuwa naipenda mnoo ila daah noma 😭😭😭😭
2026-04-28 06:53:59
40
devidmudabe
devid mudabe :
pumuzika kwa aman kaka umeacha alama isiyo futika
2026-04-28 10:51:42
8
abdy6115
Abdy :
pilau ipo tukuje ama 🤔
2026-04-29 20:28:47
0
miss27_comedy1
Miss mam❤️ :
Allah akusameh makosa yko🥹😭🤲🤲🤲🤲
2026-04-29 08:46:09
4
yahaya.omari3
Yahaya Omari :
hiyo nyimbo watoto wa lfu 2000 sio rahisi kuielewa
2026-04-29 01:37:04
6
sayunioff19
Sayuni kingazi :
sio ndugu yqngu ilq moyo unaniumq hatar Allah atujalie mwisho mwema
2026-04-28 10:35:03
7
sia10487
Sia :
jmn daaah Upumzike kwa Amani
2026-04-28 06:30:37
9
user429denismawala
Dalal Denis Dodoma :
nyimbo za zaman ndo zilikuw nzur kuliko za sasa
2026-04-28 20:35:13
5
marcellina.simba
WINNER :
pumzika kwa amani kaka😭😭😭
2026-04-29 08:15:02
4
karungi537
karungi537 :
kwan kafa lini jaman
2026-04-28 14:56:11
0
abkimwaga
ABDUL :
kwani huyu nan mbona ame trend sana 😳
2026-04-28 21:20:29
2
winclifsinteriors.ent_23
WINCLIFS INTERIORS ENTERPRISES :
Pumzika kwa amani ndugu
2026-04-28 16:34:26
3
fatuma.mchombora
Fatuma Mchombora :
innalillah wainnaillah rajuin
2026-04-28 10:29:36
3
user68148544771135
Alphonso saha :
Rip spark tulikupenda ila mola alikupenda zaidi
2026-04-29 08:59:12
3
To see more videos from user @wakandagallery1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About