🤣🤣 Mungu anaandika majina ya wote ambao hawajawai kupanda ndege mwaka huu hauishi utajibiwa❤️🙏
2026-05-01 10:59:27
242
wilfred :
nitawahi ata kuwa na gari???...kama kupata likes ni shidaaa
2026-05-18 14:38:58
43
user2640552891110 :
kumbe sio kurahisi 🤣🤣🤣🤣
2026-05-01 14:02:01
8
Rose Mwakalinga :
🤣🤣🤣🤣🤣mgogo shikamooo baba
2026-05-29 11:33:26
2
Lucy Hussein :
nakuja kusali kwako🥰🥰🥰
2026-05-12 20:37:39
5
FELISTA M KALOKI :
imagine I just checked from Nairobi to diani is 7k ,,,uchukue room 1500,upumzike kiasi ,ukule breakfast,lunch na supper tuseme pia 1500 ,,Alf usiku upande mash POA ya 1500 pia urudi Nairobi,,with 12k ..uko Sawa ,na utakua umepanda ndege 🤣😅🤣Nani anataka tupande ndege pamoja
2026-05-01 04:08:23
35
user6278195115106 :
Mungu nisaidie ili siku moja nionee Live live, huyu mchungaji sijui kama yuasema kweli
2026-05-18 06:48:29
5
masharo :
yani umenifurahisha sana mbavu zangu jmn mtumishi
2026-05-16 19:51:50
5
Kemilembe Ponnela :
Nimeijua formula Sasa bado kuipanda tu🤣🙏
2026-05-10 09:42:51
13
naisesoi :
niaukweli kabisa karibu nipandwe napresure
2026-04-29 21:35:26
14
user5076165419188 :
Jesus l love, Jesus l love, Jesus l love.
2026-05-06 10:05:38
6
alfayo changilwa :
very true Hadi niliomba na sio rahisi Mimi niombe.
2026-04-29 20:34:01
38
To see more videos from user @echoesofwisdom48, please go to the Tikwm
homepage.